Recent content by Mbutaa

  1. M

    JamiiForums Natafuta mtumishi wa maendeleo ya jamii wa kubadilishana naye aje maswa-simiyu

    Kumbe tupo wengi wenye shida ya kutafuta mtu wa kubadilishana. Mimi ni Afisa mtendaji wa kata wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro. Kama yupo WEO kutoka mkoa wa Dar es salaam au Pwani atakayependa kubadilishana na mimi nitashukuru. Thanks in advance.
  2. M

    JamiiForums Natafuta WEO wa kubadilishana naye.

    Asante boss. Naomba ufafanuzi hao TAESA watanitafutia mtu wa kubadilishana nae au ni ajira mpya? Asante.
  3. M

    JamiiForums Natafuta WEO wa kubadilishana naye.

    Asante boss. Naomba ufafanuzi hao TAESA watanitafutia mtu wa kubadilishana nae au ni ajira mpya? Asante.
  4. M

    JamiiForums Natafuta WEO wa kubadilishana naye.

    Wapendwa wana JF salamu kwenu. mimi ni Mtendaji wa kata mkoani kilimanjaro wilaya ya Siha. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka katika wilaya moja wapo kati ya Kinondoni, Ilala, Temeke, Kibaha au Kisarawe ili niweze kukaa karibu na familia yangu Dar es salaam. Atakayekuwa tayari anitumie PM...
  5. M

    JamiiForums Uhaba wa ajira usiwe chanzo cha kuwadhurumu wafanyakazi

    Message sent. Hiyo ipo sana.
  6. M

    JamiiForums Ushauri kwa vijana wasio na Ajira

    Asante kwa ushauri mzuri kwa vijana.
  7. M

    JamiiForums WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wana JF. Huyo WEO wa kivukoni kama atapenda mkoa wa kilimanjaro wilaya ya Siha atanisaidia sana kuweza kuungana na familia yangu iliyopo Dar es salaam. Kama atakuwa tayari anitumie PM tuwasiliane kwa marefu na mapana. Asante.
Back
Top Bottom