Ushauri kwa vijana wasio na Ajira

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
Kuna ndugu yangu mmoja amezunguka akitafuta ajira miaka kadhaa hajapata! Katika application zaidi ya 80 amefanya interview 3 tu! Alichoka zaidi pale majina yalipotolewa na Sekretarieti ya ajira Jina lake halimo. Sasa amekata tamaa! Najua kuwa kuna wengi wana matatizo kama huyu jamaa lakini mimi nipende tu kuwashauri
msikate tamaa vijana keep on trying mtafanikiwa tu siku moja!
but kama kuna mambo mengine mnaweza kufanya km vile ujasiria mali, Ualimu nyie endeleeni, manake kuna maelfu ya vijana hawana ajira wanazunguka mijini kila kukicha na bahasha wanasambaza CV kwenye makampuni na maofisi tofauti tofauti.....Cv hizo zinaishia kuchomwa moto tu!
Hakuna mpango wowote wa kushughulikia tatizo hilo, wanaishia tu kutoa msemo wao kuwa "mjiajiri" hakuna anayezungumzia changamoto za vijana kujiajiri kama vile mitaji, elimu ya ujasiria mali n.k
Ni wakati wenu kuamka kupeleka message yenu kwa serikali
 
Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
969
Mkuu, tatizo tupo wengi sana mbaya zaidi hakuna viwanda vipya vinavyoanzishwa na mbaya zaidi kilimo si sera ya serikali tena, vijana wote tumekimbila mjini na wasomi nao wanataka kuanza kufanya kazi zenye mshahara mkubwa mara ya kwanza tu, sasa kama mtu ana degree na hajapata kazi miaka 5 si ni bora ukaomba kazi hata hotelini tu kuliko kuendelea kupiga photocopy hivyo vyeti na kukaa bure? wengine wanazo asset wana viwanja wana mashamba wana nyumba za urithi na kadharika na kadharika lakini hawapo tayari kujitoa mhanga kutumia rasilimali hizo walizonazo kufanya biashara na hivyo kujiajiri bado wanaendelea kuomba kazi.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
20,407
15,340
Kujiajiri ni kuzuri sana maana unakuwa na nidhamu ya kazi na nidhamu ya pesa vilevile. Kila kukicha akili inakuwa inachemka namna ya kuboresha mradi wako kutokana na changamoto za kila siku katika mradi huo. Na hii inatokea kama wewe mwenyewe ulihusika kwa asilimia kubwa au zote kuuanzisha mradi huo.

Jaribu uone ilivyo raha kujiajiri, usikatishwe tamaa na changamoto utakazo kumbana nazo, wewe songambele kuanzisha na kuuboresha mradi wako.

---MpigaKelele
 
Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,407
3,624
Kuna ndugu yangu mmoja amezunguka akitafuta ajira miaka kadhaa hajapata! Katika application zaidi ya 80 amefanya interview 3 tu! Alichoka zaidi pale majina yalipotolewa na Sekretarieti ya ajira Jina lake halimo. Sasa amekata tamaa! Najua kuwa kuna wengi wana matatizo kama huyu jamaa lakini mimi nipende tu kuwashauri
msikate tamaa vijana keep on trying mtafanikiwa tu siku moja!
but kama kuna mambo mengine mnaweza kufanya km vile ujasiria mali, Ualimu nyie endeleeni, manake kuna maelfu ya vijana hawana ajira wanazunguka mijini kila kukicha na bahasha wanasambaza CV kwenye makampuni na maofisi tofauti tofauti.....Cv hizo zinaishia kuchomwa moto tu!
Hakuna mpango wowote wa kushughulikia tatizo hilo, wanaishia tu kutoa msemo wao kuwa "mjiajiri" hakuna anayezungumzia changamoto za vijana kujiajiri kama vile mitaji, elimu ya ujasiria mali n.k
Ni wakati wenu kuamka kupeleka message yenu kwa serikali

Kazi zipo kibao hela yako tu kihivyo itakuwia vigumu sanaaa !!
 
10Shoka14

JF-Expert Member
May 10, 2012
305
122

zema21 Wazo lako ni zuri binafsi nafikiria kumobilize watu kama 33 nikiwemo mwenyewe so tutakuwa kama 34 viko vitu ndani yangu nafikiri wakati wa kuvitoa na kushirikiana na wenzangu ndo huu umewadia.Nimemaliza miaka ya elfu mbili mwanzoni nikapata failure za kutosha ambazo ni shule nzuri kwakuwa nilizipokea kama step stones.Nitakuja na kutoa maendeleo ya movement yetu kadiri ya nitakavyoweza.Ushauri wangu kwa tusio na ajira za kujiajiri ama kuajiliwa tufikirie kujiunga ktk vikundi tujadiliane kuona kama kikundi mambo mangapi tunaweza kufanya ktk mazingira tuliyopo kwa nguvu tulizonazo na vifaa tulivyonavyo.Naamini mkipata hata matano ya kuanzia means and ways zipo za kuanza kuelekea mtakapopachagua,siri ni juhudi na maarifa pamoja na kusoma vitabu vizuri vinavyotia moyo na kuonesha njia,magazeti mazuri,vipindi vizuri redioni na kwenye tv bila kusahau internet.Nawasilisha
 
Mbutaa

Member
Dec 2, 2012
10
1

Asante kwa ushauri mzuri kwa vijana.
 
Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
28
Nadhani mpango wa kulipwa kwa saa ukianzishwa utasaidia kidogo rotation ya waliona ajira waliojisahau na wale waajiriwa wapya. Maana yake mfanyakazi akileta uvivu tuu pesa haiingii na anaweza kuikosa kazi kijana aliyemaliza au anayetafuta kazi akapata kwa urahisi. Mtazamo tuu huu.
 
cheichei2010

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
932
349
Mkuu, tatizo tupo wengi sana mbaya zaidi hakuna viwanda vipya vinavyoanzishwa na mbaya zaidi kilimo si sera ya serikali tena, vijana wote tumekimbila mjini na wasomi nao wanataka kuanza kufanya kazi zenye mshahara mkubwa mara ya kwanza tu, sasa kama mtu ana degree na hajapata kazi miaka 5 si ni bora ukaomba kazi hata hotelini tu kuliko kuendelea kupiga photocopy hivyo vyeti na kukaa bure? wengine wanazo asset wana viwanja wana mashamba wana nyumba za urithi na kadharika na kadharika lakini hawapo tayari kujitoa mhanga kutumia rasilimali hizo walizonazo kufanya biashara na hivyo kujiajiri bado wanaendelea kuomba kazi.

Na bado ikifika wakati wa Uchaguzi tunaichagua CCM,tunaogopa mabadiliko.Kila mabadiliko huja na mazuri na mabaya yake.
Ushauri wangu kwa wote wasio na ajira ni huu " penye mwamba mgumu ndio penye mafuta" unapokumbana na magumu ndio kipimo cha mafanikio yako.Utakapopata kazi naamini utaithamini hasa ukilinganisha na ulikotoka.Msikate Tamaa.
Kila la kheri.
 
kisoda

Senior Member
Dec 4, 2012
168
34
zema21 Wazo lako ni zuri binafsi nafikiria kumobilize watu kama 33 nikiwemo mwenyewe so tutakuwa kama 34 viko vitu ndani yangu nafikiri wakati wa kuvitoa na kushirikiana na wenzangu ndo huu umewadia.Nimemaliza miaka ya elfu mbili mwanzoni nikapata failure za kutosha ambazo ni shule nzuri kwakuwa nilizipokea kama step stones.Nitakuja na kutoa maendeleo ya movement yetu kadiri ya nitakavyoweza.Ushauri wangu kwa tusio na ajira za kujiajiri ama kuajiliwa tufikirie kujiunga ktk vikundi tujadiliane kuona kama kikundi mambo mangapi tunaweza kufanya ktk mazingira tuliyopo kwa nguvu tulizonazo na vifaa tulivyonavyo.Naamini mkipata hata matano ya kuanzia means and ways zipo za kuanza kuelekea mtakapopachagua,siri ni juhudi na maarifa pamoja na kusoma vitabu vizuri vinavyotia moyo na kuonesha njia,magazeti mazuri,vipindi vizuri redioni na kwenye tv bila kusahau internet.Nawasilisha
bonge la wazo!mia.2anze sasa bhana,nami nimo!
 
10Shoka14

JF-Expert Member
May 10, 2012
305
122
bonge la wazo!mia.2anze sasa bhana,nami nimo!

kisoda Sikwambii umo ama haumo kwakuwa wale 33 ni member wangu wengi wao tuliachana drs la 7 na wengine wakakimbia*2 njiani kabla ya fm 4 na wachache fm 6 na chuo nadhani unapata picha ya hiyo piramid iliyopo hapo.Kwahiyo charity begins at home ndo kitu nafanya bado sijajua naweza badae kupanua wigo na ukafikiwa ndo maana nikaanza kwa kukueleza "sikwambii umo ama haumo".
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

5 Reactions
Reply
Top Bottom