Recent content by MBUSHUNOTI MIINDOI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kaulimbiu ya "Safari ya Matumaini" ni kiashiria cha kutokuwa na uhakika!

    Hakuna wakumzuia lowasa yaan Ikulu inamuhusu wengine wanasindikiza tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa na marafiki wake wamwaga billion 7 dodoma lengo wajumbe wa nec.

    Lowasa ndo mwarobaini wa utwana na ubwenyenye uliokisiri humu tz. Viva EL viva tz.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa amefanya nini kwa wanaMonduli?

    Njoo monduli jionee mwenyewe kazi nzuri iliyotukuka ya Mhe EL Raisi mtarajiwa, then compare to mtama
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Gaddafi, Dodoma wamshukuru Membe

    Ache kulalamika jamani waliomualika ni masheihe kwani hawakujua kuwa hilo halikubalika ktk uisilamu bila shaka wanaujua uislamu kuliko nyie wa fb.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali la kichokozi, Kwanini Membe anaamini kwamba familia ya rais inamuingiza Ikulu

    Huyu Mende hawezi kamwe kuwa raisi wa Tz atabakia kuckia tu kwa wengine eeehee. EL ndo mpango mzima.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mbinu hizi, Lowassa ni mafuriko yasiyozuilika kwa mikono!

    Lowasa jembe yaani moto wa kuotea mbali, mgombea wa ccm ni Lowasa kama hutaki hama chama.
  7. M

    JamiiForums Tanzania PIUS Msekwa Amvaa Nape

    Narudia tena asiyetaka basi ahamie nchi nyingine kwani H.E EDWARD LOWASA ndo next Presida of die U.R.T 2015-2020.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Sema kikundi cha waislamu ucjumuishe kilka mwiislamu coz hata Mhe. Madabida ni Mwiislamu pia. Team Miembe kazini ila uraisi watabaki kusindikiza tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo kwanza na mapinduzi ya kijani Tanzania

    Kila mtanzania anapaswa kutathimini tamko la KILIMO KWANZA katika mstakabali wa uchumi wa nchi yetu. kwanza tufanye tathimini yetu sisi wenyewe kwa mchango tulioutoa katika kufanikisha adhima ya kilimo kwanza bila kuinyoshea lawama serikali "MTANZANIA AMKA TIMIZA WAJIBU WAKO"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake na wadada walo olewa tuuu....!

    waambie maana wamejisahau!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msiba: Familia ya Mungai

    poleni sana wanafamilia
Back
Top Bottom