Recent content by Mburia25

  1. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Shamba langu. Bustani ya ndoto zangu

    Nakuunga mkono mkuu, mimi pia hii ndiyo my dream retirement plan...na kwa kufanikisha hilo tayari shamba nimepata, ekari 3, nimejenga farm house, nimepanda miti ya matunda (maembe,machungwa, malimau, fenesi,topetope etc) na mwaka jana nimeanza kupata mavuno maana nilipata miche ya kisasa from...
  2. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Hata asingekuja huyo Slowslow kuna kitu wabongo wangeweza kufanya kumnusuru Lissu?? Hivi Mbowe alikaa how long? Kuna kilichofanyika?? Tuendelee kula mtori bila nyama jombaa...
  3. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Shamba langu. Bustani ya ndoto zangu

    Tupeane uzoefu unavyoisimamia site (shamba) especially kwa mfanyakazi au kwa mtu aliyembali...
  4. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

    Kwa nini unaiiita stendi ya kimataifa? Weka picha tuone kama kweli ni ya kimataifa
  5. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Serikali izuie mfumo wa Pre Form 1 hadi Novemba. Watoto wapate muda wa kupumzika baada ya safari ndefu ya elimu ya msingi

    Anakusaidia hata wewe ambaye hujitambui, ukimuona kipofu anaelekea kutumbukia shimoni ni wajibu wa kiraia kumwambia mbele kuna shimo. Sijui umenielewaaa?
  6. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Nguo zako ambazo huzivai tena aidha kwa kuchakaa au kuwa ndogo huwa unazifanyaje?

    Mimi pamoja na mishemishe zangu nina shamba kwenye kijiji fulani na kuna nyumba pale shambani na kuna jamaa anaishi hapo na familia yake kuangalia mashamba. Huwa nguo zote ambazo hatuzitumii tunawapelekea. Na yeye pia anao ndugu zake huwa anawapa. Zinawasaidia sana maana nyingine huzitumia...
  7. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Tungependa hata kile kikotoo kirudi kwa watumishi wa Serikali Kuu kama ilivyokuwa

    Exactly anasema eti kirudi kama zamani kwa watumishi wa serikali kuu, this is so selfish..
  8. Mburia25

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

    Wewe inakuhusu nini wakirudi kwenye umasikini? Mbona wabunge na viongozi wengine hawako kwenye kikokotoo??
  9. Mburia25

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

    Daah aiseee 🤣 🤣...leo nimemsikia CJ naye anakilalamilia kikokotoo kwa majaji...
  10. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Wakati unatafuta proper solution kwa sasa ukiwa na demu wakati wa bolingo time zima taa, utamgonga vizuri tuu...
  11. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Wosia alioandika huyu mzee ni wa kibabe sana

    Tafuta za kwako, punguza ushauri kwenye pesa za wengine
  12. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Card mpya za vyombo vya moto ni changamoto

    Ungeweka walau sample ili ieleweke, siyo wote tumeziona hizo kadi mpya.
  13. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Wosia alioandika huyu mzee ni wa kibabe sana

    Kama angeamu kufuja pesa, kama wewe unavyoita ku enjoy maisha leo asingekuwa na cha kuacha kwenda wosia wake. It's only selfish people ndiyo wenye mtazamo kama wako.
  14. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Wosia alioandika huyu mzee ni wa kibabe sana

    Ukiona mtu anashindwa kuushambulia hoja kuu iliyoko mezani,na anahangaika na petty issues, jua shuleni alienda kwa ajili ya kunywa uji na kuibia wenzake peni na vifutio.
  15. Mburia25

    JamiiForums Tanzania Wosia alioandika huyu mzee ni wa kibabe sana

    Kwa hiyo familia ikipanuka haitafuti kazi zao za kujiingizia kipato badala yake watakuwa wanategemea urithi? Ni aibu kubwa kwa huo mfano uliotoa wa vijana wa kiume 4 eti wawe wanaishi kwa kutegemea urithi wa marehemu, hawana akili,mikono na afya ya kufanya kazi?? Kiini cha huu wosia ni kwamba...
Back
Top Bottom