Recent content by mburi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    #5, 137 Nasubiri jibu wakuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wakuu: Nina swali kuhusu mita za LUKU. Zipo mita za kuweka ukutani na za kwenye nguzo. Nini tofauti yake? Na je mita za LUKU za ukutani zimesitishwa au zinafungwa bado majumbani kwa sasa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nashukuru kwa majibu maana hii inaonyesha mnajali.Na yamkini feasibility study imefanyika! Naomba kueleweshwa kama mteja ( Technically) Ni sababu zipi zinazopelekea umeme ukatike kwangu tu na sio kwa jirani zangu wa line moja na nguzo moja? Umeme unakuwaje mdogo kwangu tu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wilaya Momba: EneoTAZARA -TUNDUMA Namba ya simu: 0684187248 Namba ya mita 24213768203 Tatizo: Umeme unakatika kila siku jioni unakaa kwa saa kadha ndipo urudi. Niko na watu wengine line hii na wengine nguzo moja lakini hawapati tatizo hili. Nimeshaenda Tanesco mara nyingi maambiwa umeme ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wakuu naomba mnisaidie nakuwa kama niko kisiwani. Hata humu ndani mafundi washacheki hakuna tatizo la kiufundi. Shida ni nini? Nishaenda zaidi ya mara tatu Tanesco wansema umeme mdogo. Naona ni assumptions maana mimi naona majirani unawaka!! Why kwangu tu? Na hapa nipo gizani!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi tatizo langu ni meter ya Luku, umeme unkata kwa masaa kila jioni kwangu tu au nyumba mbili lakini meter ziko tatu kwenye nguzo moja na huyo mmoja haujawahi katika. Kwa nini kwangu au kwetu tu. Kama umeme mdogo iwe nyumba mbili tu? Line hii kuna nyumba tatu za jirani umeme haukatiki. Ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Mhh!! Usifanye hivyo. Unahitaji ushauri na maombi. If you are willing please find me in this Whtaspp number for counseling. +260972565519 Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Kakobe yamenifanya nimrudie Mungu kwa nguvu zote

    Iko Mabwepande saizi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Kakobe yamenifanya nimrudie Mungu kwa nguvu zote

    Heri wewe uliyefunuliwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Kakobe kwa sasa hana chama ninavyojua. Ila hata Chadema wangekuwa madarakani au ikitokea wakachukua nchi hawezi kusifia tu. Siyo kazi aliyopewa na Mungu. Hivi kama sisi ni waungwana Kakobe anapata faida gani binafsi kwa hoja aliyotoa? Tunafikiri Kakobe ana njaa ya nile nini? Nivae nini? Nilale...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Nimewaambia clip hii ya zamani lakini wanaendelea tu kuchonga blindly. Hapo naonana wana bad intention sawa na aliyeiweka. Nijuavyo mimi kila jambo lina majira yake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Hii speech ya zamani miaka mingi wala si ya utawala huu wa awamu ya tano. Usitudanganye. Tunaijua.
  13. M

    JamiiForums Tanzania RC Mrisho Gambo asema makanisa ya Kakobe yachunguzwe, isije ikawa ni wakala wa Shetani!

    [emoji15] [emoji15]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Watu wengine bwana. Kakobe katuma lini audio? Umetoa audio ya zamani maktaba unatudangaya ya sasa. Hii ya zamani hizo wala si ya utawala huu wa awamu ya tano. Usalama wa taifa wanaijua hutawadanganya.
Back
Top Bottom