Hamumpati Reginald Mengi kwa hizi swaga zenu na vitisho vya kishamba! Hii najua Mtunzi wake ameitunga kutokana na Mengi kuwafanyia walemavu sikukuu kila Mwaka!
Sasa hapa mleta mada anataka kutuaminisha kuwa eti kundi la walemavu ambalo mengi analisaidia limegawanyika! hii ndio concept ya...
nadhani ungetoa majibu tu kuliko kurukia habari zilizochacha na ambazo hazina ukwel au zilipata majibu stahili! Ni vema kama wew ni act utoe majibu ili kukidhi takwa la uwaz wa chama chenu, kama ni mwanaccm jaribu kuwashawish wenzako haya matumiz makubwa wanayofanya wakumbuke kutunza nauli...
wewe ni M..ku. nd kweli ! Chadema hatufanyii mikutano vichochoroni au kuvizia sehemu zenye watu wengi tujipachike sie zetu Memorial kama ni mkutano mdogo wa kawaida level ya mwenyekiti wa Wilaya ngoma inapigwa Railway Njoro! ambapo ndipo mnapoenda kufanyia mkutano wenu Mkubwa Leo
picha imepigiwa stand hii na eneo hili hapa halikaukagi watu maana pia kuna kituo cha daladala za mbuyuni na Pasua! hata asipofika Kinana panakuwa crowded
Hamna kitu Mkuu ni yale yale yakusafirisha watu picha inajieleza Huyu Mwemba mweusi ni Diwani wa Kilomeni ndugu Mohamed Mgallah aliekuwa Mkuu wa Msafara wa watu kutoka Kilomeni na sio Mzee anayesikiliza Mkutano
Huyo Mwingine pembeni yake ni Diwani wa Shighatin Enea Mrutu aliekuwa Mkuu...
Ki ukweli CCM mkoa wa Kilimanjaro ni balaa! very creative! wamempangia kinana Shughuli pale Stand wakijua kuwa pale kuna mjumuiko wa watu wengi sana! Wasindikizaji, Abiria na wapiga Debe! halafu kwenye taarifa zao wanajisifu kuwa walifanya mkutano mkubwa sana! Lkn Kumbekeni pia sio wote...
endelea kujifariji tu mchepuko wa watu! Au unadhani hatujui kuwa mabasi kutoka same, rombo, marangu yalikuwa yananshushia abiria mbwa haruki na watu kutoa uniform kwenye mabegi na kuvalia pale kwenye kituo cha mafuta mbwa haruki huku wale wa same na mwanga wakishushiwa pale kituo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.