Recent content by Mbunge Wakimataifa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenzangu unajua ni kwa nini?

    🙄
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenzangu unajua ni kwa nini?

    Kuna hili suala la kila nyumba za ibada za kishetani zinapewa jina la kanisa na sio msikiti? Kitu gani kinawavuta kuita kanisa badala ya msikiti ili hali kanisa ni nyumba za ibada za wakristo kama ilivyo kwa waislam msikiti. Je, kuna mwenye majibu kuhusu hilo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania 2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 3 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    waliotumiwa sms ya ushindi watuambie tuwajue mapema tuwape hongera zao.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Naomba kujua maana walituambia tuwe tunapitia PM mara kwa mara lakini nasikia tu tarehe ya kugawa tuzo kwa washindi ni 21 lakini washindi hawajulikani na mahali ambapo tuzo zitatolewa hapatangazwi. Mwenye ufahamu atuelezee na sisi tujue nini kinaendelea
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

    Mamlaka zimewekwa na Mungu kama ilivyo katika amali zingine kama ardhi, madini n.k lakini vyote aliambiwa shetani avimiliki kwa lengo maalumu ambalo mungu alikusudidia. Ndio maana vitu vizuri vyote utavipita kwa njia mbili Mungu au Shetani isipokuwa uzima wa milele huo unapatikana kwa mungu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

    Kakika kuran imeadikwa yesu atakuja kuuhukumu ulimwengu, je ni nani mwenye mamlaka ya kuhukumu ulimwengu au wanadamu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

    Biblia Isaya 9: 6; Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. " Kwa kifupi Yesu ni Mungu na alikuja duniani kwa mfano wa binadamu na ndio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Huu mfumo wa demokrasia uliopo Tanzania ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi hatuwezi kuendelea kama mfumo huu utaendelea kubaki hivi vinginevyo ni lazima wananchi waviweke pembeni vyama vyao wadai haki kama raia na sio vyama. CCM wanasimamia kuwa mambo yoyote yakisemwa kupitia viongozi wa vyama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Alifanya kitu kimoja kibaya sana, leo hii raia wanaamini midomo yao iko kwenye vyama jambo ambalo linapelekea wachache wanukuliwe badala ya umma. Watu wanapotea kwasababu ya kusimama na raia kama watetezi wao. Wafute vyama vingi ili raia wajue namna ya kuzungumza na serikali na sio kuonea wachache
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Ahsante sana ndugu yangu, kama ni hivyo wasiwe waoga wasimamie wanachokiamini na wanachokitaka sio kuruhusu au kukubali mambo kimtego ili wanyanyase watu. Kama wanauwezo wa kutuongoza milele waamue moja tu kusiwe na vyama vingi mimi binafsi nitawaelewa kuliko hali ilivyo sasa. Kama ni mabadiliko...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Sasa kama suala ni kuogopa kunyimwa misaada si warudishe mfumo wa chama kimoja halafu wajenge uchumi wao kwa nchi yao kuliko kukubali mambo kishingoupande halafu wanaanza kunyanyasa watu na uhai wao? Wanakuwaje na jeuri ya kukandamiza haki za watu na wakati suala la kujenga uchumi imara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

    Tumeamua kuwa wateja wa bidhaa za nje na sio kuzalisha bidhaa za kwetu. Hatutakuja kuendelea kwasababu siku zote mteja hujenga uchumi wa mwenye bidhaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya VoLTE

    Kwa wale wanaotumia simu za google pixel na mtandao wa voda kuna mtu simu yake inashika VoLTE? maana mimi natumia pixel 6 pro ina hiyo feature lakini sioni option ya kuiwasha. Au ni shida kwa watumiaji wote wa pixel?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza kozi ya ukocha ngazi ya Grassroot

    Kama kuna mtu ana taarifa za uwepo wa kozi ya ukocha grassroot level katika mkoa wowote ule kwa siku za usoni hivi karibuni anipe taarifa tafadhari. Ahsanteni sana.
Back
Top Bottom