Salaam Wana Jukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye Mada, pengine inaweza toa tafsiri tofauti na ninacho maanisha. Ni hivi,
Kuna Siri gani siku au tarehe ya mtu kuzaliwa na ilaaniwe. Soma Biblia kitabu cha Yeremia na Ayubu. Wote hawa walisema " Na ilaaniwe siku niliyozaliwa" naomba kujua Siri hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.