Milala secondary ya sasa

Milala secondary ya sasa

mliofanikiwa kupita barabara ya Mpanda Sumbawanga ivi karibuni lami imekamilika kwa asilimia ngapi?
 
Ni vema waziri Wa elimu ukatembelea hii shule. Ni aibu kubwa shule inayo ongozwa na chama tawala CCM kuwa katika hali mbaya ,,,, mwanafunzi mmoja kidato cha kwanza ni fedheha,,,,,,.Hapo pana tatizo. Siamini ya kwamba chama kimeshindwa kuiendesha shule wakati chama tawala ndio serikali.
 
Mkoa wetu haujasahaulika na sasa ndio kwanza unakuwa kwa kasi.!
Ukisikia uchumi WA nchi umekuwa Sana Sana,ila maisha yanazd kuwa magumu..
Mkoa kujinadi unakuwa kwa kasi, ni porojo kma porojo za wanasiasa wengine tu
 
Back
Top Bottom