Ww nae ni kilaza nambari one!....Ukrein hapo anafanya nn???...yaani ule ubishi wako wa uzi wa kulee unatembea nao kila sehemu...,..
Russia anapambana na NATO huku kafungwa pingu za miguu na mikono pamoja na kitambaa machoni ilà bado yupo na anadunda....ww unamuona ni mdogo kwa Ukrein...yaani...
Zimbambwe kuna tatizo gani tena..?...si juzi tu walimtoa Mugabe...?...pale shida ni Mnangagwa au ni vikwazo walivyowekewa na wazungu baada ya kuwapora Ardhi Waingereza...?...
pale hata wakija Wanajeshi au Wapinzani...ni kipi zaidi watakifanya kwa hali ilivyo pale??
Sent from my SM-A217F using...
Hao West wameshawahi kutupa Tech ipi..??...zaidi ya dawa za kufubaza virusi vya HIV na CONDOM wakati hiyo HIV wameitengeneza wenyewe na kutuletea ss...hv Waafrica mkoje nyie...hv anaekupatia mbolea ukalime ujikomboe na njaa....Silaha na maarifa ya kujilinda dhidi ya West wanaokesha wakituibia...
siku moja moja uwe unatumia akili ww!!!...yaani ww kila linalosemwa jema kuhusu Russia ni lazima utafute kitu cha kupinga...mtoa mada kaelezea vzr sana...inayotafutwa ni new route ya kuutoa mzigo Russia-St Petersburg...na kuufikisha popote pale duniani kwa Wahitaji....hiyo SAHEL ROUTE mpya...
Uwezo unaangalia nn?? Vifaa vya Kijeshi??....mimi kwa hili ntakupinga...sidhani kama kuna Jeshi lililojaa urasimu kama hili...hapo kuna Rushwa...Ubaguzi wa kidini...Ubaguzi wa kimaeneo....na ndio sababu Jeshi kubwa lakini hawawawezi Boko Haram...
Jeshi linapanga kushambulia eneo fulani kunatokea...
Acha kujifanya unajua sana kumbe ni bure kabisa kichwani..???...hao Wagner unaowaona wa kawaida ndio waliowasimamisha WEST hapo Ukrein....hv unafikiri ile Battle ya Bakhmut unaweza kuifananisha na vita ipi ambayo NATO amewahi kupigana..???....unadhani Ukrein kapoteza Brigedia ngapi pale...
Vyovyote vile acha wabadilishe mkoloni..!...France ameshasomeka ni mwizi na hakuna lolote alilowafanyia...hapo Niger kati ya watu 5 watatu ni masikini wakutupwa wanaoishi hohe hahe kabisa...na France yuko hapo anaiba tu....
Russia atabalance mambo hawez fanya kama France... sababu nae watamchoka...
ni hilo bomba la Gesi/Oil na second ni hiyo Uranium....kwa Africa unapoona mapinduzi kama hayo usizan hakuna hakuna Taifa kubwa la nje lililohusika....hapo ni Mrusi ndio anacheza hilo CHESS....halafu hapo inawezekana mlengwa ni France kwa kiherehere chake kule Ukrein....
Russia akiamua hapo...
Watafanya nn? hao France hapo Niger....hapo ndio basi tena kwao...Russia ana mkono hapo....kuruhusu bomba la gesi/mafuta kutoka Nigeria kupitia Niger to Europe ni suicide mission kwa Uchumi wa Urusi vile vile...ukisikia FSB/KGB ni watu hatari sana kwa mipango chini ya PUTIN ndio muwe...
Kuna baadhi ya Vijana ni wa hovyo aisee...!! Mungu lisaidie Taifa letu...hapo utakuta na akili hz uko ofisini fulani kama mtoa maamuzi na kuna watu wanakuita Boss!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
umemaliza hata darasa la 7??? mbona uchambuzi wako wa hoja ni kiwango cha chini sana...??...
Unadhani ni Vita ipi alioipigana USA hata inakaribiana tu na mtiti wa Ukrein vs. Russia..???
Iraq alikuwa na Silaha gani za kuichalenge USA na kundi la nchi zote zile walioenda kumchangia...???..hebu...
Hawa wakuu wa Wilaya za Kilindi na Temeke wamekosea wapi tena ..si teuzi za juzi tu hapa...???
Halafu huyu Mobhare si tuliambiwa humu na wajuvi wa nchi hii kwamba ni moja ya Senior Officers na wenye nafasi pana pale kwa Mtakatifu 'Peter'...nae kaunguza nn ... hadi kupelekwa kuwa Mkuu wa Wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.