Recent content by MBui

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi: Yusuf Manji asomewa mashtaka kitandani... Anyimwa dhamana!

    Ulio wataja ndugu awawezi kutoroka kamwe maana fatiliwa nyendo zao kuliko kawaida na siku mmoja wao akijaribu utasikia ametiwa nguvuni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) kwenda Wilaya ya Kibiti Leo

    Wale wauaji wako makini ujio wa jamaa wanaweza wakakausha alafu kitu kingine director wao anaweza akawa yupo ndan ya vyombo vya usalama uwapa taarifa ya mipango yote ya kufanikisha kukamatwa kwao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Ebu nieleweshe kidogo mbona waliweza badili sheria ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Hahahah usiogope kama ni wahusika kwann waachwe?
  5. M

    JamiiForums Tanzania TCRA: JamiiForums haifuati masharti kama mitandao mingine, mitandao isiyofuata masharti tutaifungia

    Naona ile inshu ya wale Maiti saba ndio inapotezwa kwa Kiki za jamiiforum maana jamaa walikaliwa kooni. Subir Upepo mbaya upite max anaachiwa. Iyo ni ndoto yangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakika ninamsubiri Dr. Slaa akifika Mbeya nahama CCM

    Aina aja ya kumsubiri Dr slaa wakati na yeye ana kadi ya CCM kama wewe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sio dhambi kuungwa mkono na CCM - Kansa Mbarouk

    Chaumbea upo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pinda awaagiza UKAWA kurudi bunge la katiba: Asema sio OMBI

    Nami nakutuma tena kama ulivyo tumwa kamwambie Mboe atoe ushahidi wake wa bomu kule arusha autoe kabla Ajang'oka kwenye uwenyekiti mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    Leo unataka warranty ya mahakama subir waje kwako mzee wa sumu utajua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kashifa nzito yamkumba Slaa huko Geita

    Sawa shemeji wa josephine.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Baraza Kuu CUF ajiuzulu; Awatuhumu viongozi wake ( UKAWA Effect)

    Upo mzee wa sumu? Hizo pesa amepewa na boss wako josphine
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    :flypig::flypig:hahahahaha BEN uko wapi mzee wa sumu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    kibaraka kazin
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    Acha unafiki dogo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Anaingizwa kwenye Walakini

    Nimekuelewa mzee wa sumu
Back
Top Bottom