Kashifa nzito yamkumba Slaa huko Geita

Status
Not open for further replies.

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,201
2,000
Wakati Slaa ambaye aliongozana na viongozi wengine waandamizi kutoka vyama vinavyounda UKAWA wakijaribu kuwaeleza wananchi wa Geita na vitongoji vyake kama vile Katoro, juu hasa ya kwanini walisusia bunge la katiba na kusudi lao nini na wanataka waungwe mkono na wananchi kwa lipi.

Kashifa nzito imeikumba ziara hiyo, habari kutoka kwa msiri we aliyekuwa akifuatilia kwa karibu na kurekodi mazungumzo na video kuanzia Vikao vya Katoro hadi Hotel aliyofikia Slaa ambayo tunaihifadhi kwa haki za kibiashara.

Mwanahabari wetu huyo kutoka kwe ye mji wa dhahabu, aligundua kashifa nzito dhidi ya Slaa , kwamba Slaa alipewa Bonge la Tofali la Dhahabu lenye thamani ya mabilioni ya fedha za kitanzania ili limsaidie katika kampeni mwaka 2015.

Taarifa hiyo inabainisha kuwa alipewa hilo bonge la tofali na mfanyakazi mmoja wa hiyo kampuni tani ya kuzalisha dhahabu maalufu kwa jina la GGM, mtu huyu inasadikiwa kuwa naye anacheo sawa na cha Slaa isipokuwa huyu ni wa Mkoa kama si wilaya.

Baada ya viongozi wengine wandamizi kuona mwenzao amepewa bonge la tofali hilo walitaka kujua kwa upande wao itakuwaje? Hapo ndipo zogo kubwa lilianza , Slaa taarifa za mfukunyungu wetu zinahitimisha kuwa Slaa alipobanwa vyema na viongozi wenzake hususan NCCR alikubali kuwa baada ya kuliweka sokoni tofali hilo ,basi wataweka mgao sawa.

Hata hivyo dhamila yake ya kuwa mgombea Urais 2015 aliirudia kuwa ibaki pale pale.

Baada ya kuipata hii tumeona ni vyema wana JF muipate juu ya uadilifu wa viongozi wetu wa kisiasa.
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,412
2,000
Wajikute tu wamempa! Kama ni rushwa wanawapa viongozi wako wq chama na serikali ndo maana wapo kimya hawataki kusikiliza masaibu yanayowakuta wafanyakazi wa migodi na wananchi wanaozunguka migodi
 
aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
0
Ukishaa kula nyama ya MTU huwezi acha tena kula alishaa zoea vya kkunyonga slaa hataweza vyakuchinja
 
Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,337
0
Kwa vile ulikuwa na msiri mwenye kurekodi mazungumzo na kukabidhiwa hilo tofali tuwekee ushahidi hapa tukuamini Mkuu. Unaonekana wewe ni mkali kweli wa mavitu ya kufuatilia manyeti ya Upinzani.
 
manumbu1

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
689
500
Jini likujualo halikuli likakwisha, bora CCM tumesha wazoea kuliko njaa kali ya hawa jamaa
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,595
2,000
Yaani ahongwe Dr.Slaa katibu mkuu wa CHADEMA au Slaa mwingine maana kuna akina slaa (Majina) wa huko CCM Pia
 
bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
eti slaa apewe tofali la dhahabu? Ili iweje? Kama unajifunza propaganda utakuwa bado sana,rudi kivukoni upate shule bwana mdogo
 
DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,614
2,000
Mkuu hata kuandika hujui..

Tupe ushahidi wa picha na sauti wakati DR SLAA akiingia mgodi wa GGM.

ELEWA KWANZA kuwa Kinana ndo huwa anaenda kwa WAWEKEZAJI NA MIRADI MBALIMBALI KUKAGUA 'SHUGHULI ZA MAENDELEO' na kupewa rushwa huku akihadaa umma.

Slaa hana tabia za Nape na Kinana.

Kajipange ulete single upya.
 
Gogoo

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
232
170
Wakati Slaa ambaye aliongozana na viongozi wengine waandamizi kutoka vyama vinavyounda UKAWA wakijaribu kuwaeleza wananchi wa Geita na vitongoji vyake kama vile Katoro, juu hasa ya kwanini walisusia bunge la katiba na kusudi lao nini na wanataka waungwe mkono na wananchi kwa lipi.

Kashifa nzito imeikumba ziara hiyo, habari kutoka kwa msiri we aliyekuwa akifuatilia kwa karibu na kurekodi mazungumzo na video kuanzia Vikao vya Katoro hadi Hotel aliyofikia Slaa ambayo tunaihifadhi kwa haki za kibiashara.

Mwanahabari wetu huyo kutoka kwe ye mji wa dhahabu, aligundua kashifa nzito dhidi ya Slaa , kwamba Slaa alipewa Bonge la Tofali la Dhahabu lenye thamani ya mabilioni ya fedha za kitanzania ili limsaidie katika kampeni mwaka 2015.

Taarifa hiyo inabainisha kuwa alipewa hilo bonge la tofali na mfanyakazi mmoja wa hiyo kampuni tani ya kuzalisha dhahabu maalufu kwa jina la GGM, mtu huyu inasadikiwa kuwa naye anacheo sawa na cha Slaa isipokuwa huyu ni wa Mkoa kama si wilaya.

Baada ya viongozi wengine wandamizi kuona mwenzao amepewa bonge la tofali hilo walitaka kujua kwa upande wao itakuwaje? Hapo ndipo zogo kubwa lilianza , Slaa taarifa za mfukunyungu wetu zinahitimisha kuwa Slaa alipobanwa vyema na viongozi wenzake hususan NCCR alikubali kuwa baada ya kuliweka sokoni tofali hilo ,basi wataweka mgao sawa.

Hata hivyo dhamila yake ya kuwa mgombea Urais 2015 aliirudia kuwa ibaki pale pale.

Baada ya kuipata hii tumeona ni vyema wana JF muipate juu ya uadilifu wa viongozi wetu wa kisiasa.
. Hadhi nzuri kakufundisha nani?
 
st44273

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
337
225

Umejitahidi,jaribu tena na kesho labda mtafanikiwa.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Hatujaribu kina cha maji kwa miguu miwili wala hatuonji sumu kamwe slaa hatutamchagua.
 
tzn kwanza

Member
May 16, 2014
11
0
Nahisi ww jamaa unatatizo la kutumia ------ yko kufikiri na ------ wako kama masikio na kichwa unakitumia kufugia nywele tu,itakuwa umeckia maccm menzako huko makina kinena na mropokaji mwingine yule ukazani ni dk slaa tunayemjua cc umechelewa labda kamdanganye mke wako ulete mwingi ne kama huna mwambie ata mpz wako kuwa umekuwa Katibu mkuu wa maccm labda atakuckiliza na c hapa jf poleeeeeeee kadaaaa wa macccccccm!ukawa ndo dawa yenu na bado
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom