#ChinaMade.
Kwanza nitoe shukrani zangu zisizo na chembe ya unafiki kwa China Radio International kwa kushirikiana na Jamii Media kwa kutuletea shindano hizi.
Katika maisha yangu hadi Hapa nilipo nashukuru Mungu nimefika Hapa nilipo kutokana na bidhaa mbalimbali kutoka nchini Nchini China...
Hv ushawahi kujiuliza askari wa Jeshi la magereza analipwa shilingi ngapi? ushaona makazi Yao? Na vp ushasikia wamechukua rushwa? Kuchukua rushwa ni tabla ya mtu. Tusishabikie wala rushwa kwa kuhusisha na udogo wa mishaara wanayolipwa.
Hiyo ni kweli kabisa kaka. Kwani nakumbuka nikiwa nipo shule, nilienda kumtembelea shangazi yangu aliekuwa anaishi pale karibu na shule.Nikawa nimelala mimi na mwanae na Shangazi yangu, usiku jamaa akaondoka nikawa niko pekee yangu pale ndani. Kumbe jamaa alikuwa na msala kwa hiyo polisi wakaja...
inavyoonekana umepost mada ukiwa chooni. Maana hamna jipya uliloandika na hao TBC ni pro ccm wasingeripoti yale ambayo Godbless Lema kazungumzia kuhusu Ikulu. Ni haki yao wana Arusha kuwazuia kufanya hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.