Kwa wale watengenezaji wa matofali. Nahitaji matofali zaidi ya 10,000. Sio kama nanunua yote kwa wakati mmoja but kila mwezi matofali 1000-1500. Gharama ya matofali iwe pamoja na upakiaji, upakuaji na delivery if possible. Matofali 6inch kama 2000 na mengine ni 5 inch. Delivery Mbezi Salasala, Mboma Road.
Tafadhali weka bei yako na namba ya simu au ni PM bei yako. Sio unatupia namba alafu unasema bei maelewano, maana najua kuna wengine humu pia nao wanatafuta matofali kwa hiyo bei wekeni kwa manufaa ya wengi.
Ukiweka namba ya simu bila bei kujulikana kwanza, siwezi kukutafuta