Recent content by mbuguni

  1. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Huyu jamaa lazima ni mhaya maana neno ambalo anaweza andika kwa Kiswahili analiandika kwa kingereza.
  2. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Kwa magufuli ilikuwa tofauti kidogo
  3. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Nashauri coach Gamondi atupishe

    Sio mechi mbili bali hata ushindi anaupata ni ushindi mwembamba
  4. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Nashauri coach Gamondi atupishe

    Hafai nakuambia
  5. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

    Kiukwel Gamondi must go maana mbinu zake zishachuja na Hana mbadala wapinzani washamsoma muda Mrefu.... Matokeo yake ya mbinu zake kuwa hafifu tunauwona sasa ushindi mwembamba katika mechi za Yanga hadi kufikia sasa anapoteza mechi mbili mfululizo tena hii Tabora Kwa idadi kubwa ya magoli
  6. mbuguni

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Yanga tutawafunga simba bila huruma.
  7. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

    Lazima tu wakate rufaaa na mara ya mwisho watatoka
  8. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kituo cha afya mbuguni iliopo wilaya arumeru mkoa wa Arusha ni kero sana Wagonjwa tunateseka sana.
  9. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kituo cha afya mbuguni ni kero tupu hakuna huduma.
  10. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mtoto wangu kushindwa kutembea

    Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mtoto wangu kushindwa kutembea

    Mkuu asante kwa ushauri wako mzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mbuguni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mtoto wangu kushindwa kutembea

    Wakuu habari za saa hizi, Nina Mtoto Mwenye umri wa miaka 4 ghafla tu amepoteza uwezo wa kutembea alianza kuugua homa then nikampeleka katika kitua cha afya akapewa dawa na kupona lakini baada ya siku tatu alianza kushindwa kusimama na kushindwa kutembea. Nilimpeleka tena Hosptal kwa vipimo...
  13. mbuguni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri unaenda, matumaini ya kugegeda bikra yanapotea

    Bikra zimekuwa adimu sana aisee
  14. mbuguni

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Thomas Mollel maarufu 'Askofu' afariki dunia jijini Dodoma akihudhuria kuapishwa kwa Mbunge wa Arumeru Mashariki

    Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi
Back
Top Bottom