Recent content by Mbotela

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Umeona mbali. Ni kweli kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Mafisadi yuko nao, wanampigia kampeni na anaahidi hatawaangusha. Kwahiyo, I don't expect to see changes through CCM
  3. M

    JamiiForums Tanzania NEC: Uchunguzi vifaa vya BVR vilivyokamatwa Dar es Salaam, Nipashe waombe radhi

    Hiyo siyo taarifa halali. NEC wana nembo yao mbona haionekani katika chapisho lako?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    Chama chake kinastahili kufutwa kutokana na kuonekana kuwa ni tawi la CCM
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vituo hewa 20,000 vingempa Magufuli kura 9,000,000

    Taarifa hizi zingekuwa ni sahihi machafuko yangeanza mara 1. I don't think that NEC is responsible for this.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vituo hewa 20,000 vingempa Magufuli kura 9,000,000

    Duh jamani mkidakwa mtatoa ushaidi. Tuwe makini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya mikutano ya UKAWA kwa sasa majimboni

    Safi sana. Mleta uzi anahisi wote akili zetu hazina uwezo nzuri kama zake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Cha kuiga hakipendezi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

    Mnachekesha sana watu wengine. Wenzenu wanampaka matope Lowassa kuwa mdini. Halafu wengine mnajichanganya tena miongoni mwenu,mnasema Lowassa hana dini. Sasa tumkibali nani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Acha uongo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Kumbe alisema kweli

    Kingunge amejiondoa rasmi leo kwenye chama chake CCM na anaunga mkono mabadiliko
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ccm itakaposhindwa kwenye uchaguzi ujao

    Big up
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa blog ya Vijimambo, Lowassa angoza

    Kuna wasiojua kusoma na kuandika ambao ndy tegemeo kuu la ccm hawakuhusika kwenye upigaji kura
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa blog ya Vijimambo, Lowassa angoza

    Kuna wasiojua kusoma na kuandika ambao ndy tegemeo kuu la ccm hawakuhusika kwenye utafiti
Back
Top Bottom