Recent content by mbonisofi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya matokeo na CCM kuangukia pua mwanachama wa CCM afariki dunia

    Siasa ni siasa ila tusifanye utani kwenye mambo ya mauti mkafananisha na siasa,tutakuwa tunamkosea mungu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kulala chini unapofiwa?

    Haina maana ni kwakuwa nyumba inakuwa na wageni wengi mkilala vitandani hamtoshi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chagua mtu sio chama

    Hakuna sababu za kubishana kila mtu afanye maamuzi anayohisi ni sahihi kwake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mh. John Magufuli aiteka Tukuyu na Rungwe

    Duh!maajabu,mbona kama mnahoma ya chuki na ccm,picha za ukawa ni ukweli za ccm zinatengenezwa,hakika kukosa kazi ni kuzuri sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wawili kizimbani kwa kuchana bendera ya CCM Mbeya

    Hakuna mgombea asiye nadiwa,mbona hata nyie mnamnadi lowasa,utafanyaje kampeni bila kumnadi mgombea?akili za kuambiwa ongeza na zako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya kuisambaratisha UKAWA

    Chadema wakipokea kadi za ccm,ni sawa hazijanunuliwa,ila ccm wakipokea kadi wamenunua tumieni akili rahisi,acheni maneno
Back
Top Bottom