Mh. John Magufuli aiteka Tukuyu na Rungwe

Mh. John Magufuli aiteka Tukuyu na Rungwe

Usifanye mchezo na kuongea non stop hususani ukiwa hujaridhia unachofanya isipokuwa umeshurutishwa
 
Alidhani kupiga kelele sana ndio kampeni za kweli!
 
Bora umempa ukweli bhana anadanganya wakati raisi alikuwa kyela na rungwe leo ila kesho jiji la mbeya

Huyo raus wenu The Makomeo yupo Mbeya Jiji na mkutano unaooneshwa na StarTv ni wa Mbeya Mjini.
Kimsingi Makomeo kachemka sote tumeona TV watu siyo nyomi ya kulinganisha na yale mafuriko ya UKAWA na EDO.

MAGAMBA yamekataliwa Mbeya mjini ndo ukweli huo. Hata Wagombea wenu wanavyoongea watu wengi wanaonekana kuwashangaa tu wala hakuna nyomi inayoonesha kumkubali Pombe na huyo Shitambala wenu.
 
Kila anapopita magufuli hakosi kukiri wizi wa madawa cha ajabu hasemi kuwa atawachukulia hatua wezi wa madawa hayo bali husema atadhibiti tu. Je atatufaa?

TUTAFAKARI.
 
Yule fisadi sasa anafanya kampeni kwenye vivuli vya daladala na mama ntilie
 
Kumbe kuna mashabiki uchwara.Tv ipo live Meya ww unadai yupo kyela. Ama kweli.
 
Acha uwongo tingatinga liko kyela,, mbeya ni kesho..

Mbeya hiyo ndugu sasa pale mbele kuna kina mama wao kupiga kelele mda wote wako kama mia baada ya hao wapo wananchi wa UKAWA wametoa macho na mikono ipo nyuma hawasemi hawashangilii hawanyooshi mkono ni fadhaa tupu. Kama hufahamu jambo sikiliza wanaofuatilia hali ni ngumu Mbeya mjini.
 
hayo mapicha yenu yasivo na mvuto,hata likes hayapati.kudadadeki zenu.:wink:
 
Huyo raus wenu The Makomeo yupo Mbeya Jiji na mkutano unaooneshwa na StarTv ni wa Mbeya Mjini.
Kimsingi Makomeo kachemka sote tumeona TV watu siyo nyomi ya kulinganisha na yale mafuriko ya UKAWA na EDO.

MAGAMBA yamekataliwa Mbeya mjini ndo ukweli huo. Hata Wagombea wenu wanavyoongea watu wengi wanaonekana kuwashangaa tu wala hakuna nyomi inayoonesha kumkubali Pombe na huyo Shitambala wenu.

acha wivu wa kike
 
Ndani ya mbeya sauti ya magufuli imekataa kutoka kabisa..hii n wk ya kwanza tu..

acha utani waimba taarabu nao sauti inakata loh chezea kikombe cha babu

cc faiza na lizaboni
 
Duh!maajabu,mbona kama mnahoma ya chuki na ccm,picha za ukawa ni ukweli za ccm zinatengenezwa,hakika kukosa kazi ni kuzuri sana
 
Back
Top Bottom