Recent content by mbongombishi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera wamezidi sasa, wanaelezea Maandamano ya Chadema ya Jana Kwa kurusha picha za kampeni za 2020!

    Hicho chombo si cha habari, ni cha propaganda. Ni waongo bila aibu kupindukia, hasa linapokuja swala la dini fulani na Taifa lile la Yakobo. Bora ofisi zao zimebamizwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe yuko Magomeni anazungumza na Waandishi wa Habari

    Hii inchi inastaajabisha kwa jinsi ilivyo na watu wenye uelewa finyu. Nawe johnthebaptist una kazi kubwa sana ya kuwaelezea mazwazwa ufafanuzi mbalimbali. Hongera kwa kazi hiyo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Umenikumbusha wale walioambiwa walete vyeti vya kuzaliwa vya bibi na babu zao zama zile...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aviator ni utapeli, wacheza kamari shitukeni

    Jana nimebet 25000 kwenye odds 4,mechi 6,cha ajabu mechi tatu zimekubali lakini Man C na Inter wamechomesha.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nasrallah: Israel Wamevuka mstari mwekundu

    Wewe Yohana Mbatizaji wa JF, kila kiongozi kwako ni "muheshimiwa"!!??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Achana na kilaza wa "ilm". Hana lolote alijualo huyo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hela hiii.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shirika halijajibu Hoja za Mkaguzi ya kuwa linajiendesha kwa Hasara, limeona liandae futari kwenye hoteli ya kifahari

    Huyo ambaye TTCL ilimpa gawio na huku nyuma ya pazia inapata hasara!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kujilipua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa Booking Code 5859F36
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muhindi leo anapigwa hivi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa 31B2282.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa 1203B30 C57C95A 0B6B0A3 F4648FC
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pesa hiyo. Hizi zote unaeweza kuweka over 1.5.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ya soup asubuhi.
Back
Top Bottom