Recent content by Mbongo Halisi

  1. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society statement on arrest, detention and prosecution of Adv. Masha

    Kwa hii lugha jamaa zangu wa buku tano huwaoni hapa hata kidogo. Teh teh teh. Tukisema mfumo umeoza huu ni ushahidi tosha sana iweje mtuy kwa kosa dogo eti la lugha mbaya kunyimwa dhamana? Je ingekuwa ni kosa la jinai ndio ingekuaje? Ukiona injini inabadilishwa oil ujue gazi zima hilo, ila...
  2. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Hakuna sheria ya kukataza kuzomea wewe hivi nyie mko nchi gani? Kwani mara ngapi vyama vya upinzani vimezomewa hata bungeni mbona huyo nanihi wenu hakusema neno? na bado mengi yanakuja
  3. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Asiishie hapo tu kwenye siasa awe anakuja na askari wake mpaka mpirani kwenye mechi za simba na yanga au azam ambapo washabiki wa timu nyingine wakizomea au kubeza mashabiki wa timu nyingine aje awakamate. Kweli huku ni kukosa kazi sasa teh teh teh
  4. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Uchaguzi CCM Hawana Uhakika Wa Kurudi Ikulu

    Yap hapo umenena mkuu pamoja daima
  5. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

    Dawa ya jeuri kiburi
  6. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Connecting Dots: Kingunge kudhibiti taarifa ya hali ya Mwalimu UK 1999 na Urafiki wa ghafla na EL

    Pumba tu tafuta kingine kama huna kalale
  7. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

  8. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    https://www.youtube.com/watch?t=80&v=6YKRs2dTgZw TELEVISHENI YETU YAANI NA BADO MNAZIKIMBIA HIZO HABARI LAKINI WAPI SASA NAWASHAURI ANZENI KUSOMA HABARI ZA MICHEZO TU ZINATOSHA. TEH TEH TEH
  9. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    HII NDIYO TV YA TAIFA IANGALIE HALAFU UWE NA LAKUSEMA NA ITV. TAFAKARI SANA
  10. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Kingunge kukutana na Wanahabari kesho saa 5 asubuhi Serena Hotel kujibu Mapigo

    Karibu Muzee amtukanaye mzee anatafuta laana.
  11. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Jamani uskikose kuangalia kipindi hicho na leo tena.
  12. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Tunachojua sisi ni kwamba tunamsubiri Rais wetu wa Ukawa kuampishwa tu.
  13. Mbongo Halisi

    JamiiForums Tanzania Maandamano hayaepukiki kipindi hiki

    Uko sahihi sana ndugu. Uppuzi huu unaona hapa bongo tu. Kwa kuwa misafara mingine ni minene sana kuliko ile ya kwetu hivyo basi njia bora ni kuzuia maandamano. Hii haikubaliki kabisa. Wote tukatae.
Back
Top Bottom