Recent content by Mbonde Ally

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anayefanya kazi Maktaba ya Muziki TBC 1 achunguzwe

    Ata safari chenel nao ni wale wale mwaka wa tatu huu makala ni zile zile
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Manzese kwa bei iyo unapata hoteli kabisa sio logde
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kijiweni Unguja: Shosti wetu ni mtoto wa mstaafu kumbe

    Ulichoficha hakuna kama wana uwezo kuongoza acha waongoze
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

    Daah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Daah tuko weng wenye hasara iyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    Kutokupanda haiwezekani sema tu wachukue tahadhali zote kuepuka ajali za kizembe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilivyoshindwa kizembe kusoma udaktari

    Kenge..Hahah atavanila ufai kulima kalime mifagio
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Uwez kuuza wakat ata uzoefu wa biashala huna ni heli upambane upate mtaji kidogo sana uanze biashala yoyote ukipata mwanga wa biashala kubwa ndo uanze kufikili iyo amana itakusaidia vp ukakope bank au uuze
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Iyo ndo amana yako.tafuta mtaji kidogo fanya biashala ukipata uzoefu wa biashala kachukue mkopo mdogo utakaomudu kuulipa bila shida.endeleza nyumba yako
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nilivyoishi miaka mitatu ndani ya mwaka mmoja

    Kichwa cha habari kinasomeka vizuri.ndani lugha ya kipuuzi imejaa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini maana ya treasury bill (hati fungani)?

    Dah bonge la swali hili.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya Bagamoyo kwa mganga ili nipate kazi

    Usikute wewe ndo mganga mwenyewe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakika Tanzania iko Dunia ya Tatu

    Kama atujawahi kumiliki ndege tangu huru.ni haki yetu kufrah kwetu si jambo dogo.sawa bhana.kwaiyo tuache kidogo fanya shughuli zako.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sanduku la sadaka kanisani linafungwa kufuli?

    Hahah.hatari sana..kumbee!!ndomana walitoa walaka wa malalamiko.masanduku hayajai sikuiz
Back
Top Bottom