Wanajamvi habar
Naomba msaada namna ninavyoweza ipata filamu ya ROOTS 1977,ama maarufu kama "kunta kinte" maana juhudi zangu na maarifa yamegonga mwamba....
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar waungwana....!
Nayakumbuka baadhi ya maneno yake" Costa wangau baba, unihurumie,.....kama ni watoto fika kwangu Costa, utawaona utawaona, na sasa nilikalaga na wewe bila ya kuleta ma..." Ni baadhi ya maneno ninayo yakumbuka, Tafadhali kwa anaye Ufahamu Tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.