Hii ndiyo tanzania ambayo wanaccm wanaitaka. Tabia ya serikali kukaa kimya pale unyama kama huu unapotendeka inanitia shaka sana. Naogopa hii nchi inakwenda wapi. Kama mnyonge hana haki kwa kiwango hiki tutegemee siku moja umma kuiasi dola. Yalitokea misri na nchi nuyingine yanaweza pia kutokea...
Hoja kama hizi ndizo ambazio zinapaswa ziwekwe humu JF. Hongera sana kwa uchambuzi makini ambao nadhani hata MM2 atausoma pamoja na MM1 na MM3 wajue CDM ni watu wa kufanya maamuzi magumu hata kama wao wanayaita eti maamuzi magumu lakini ya hovyo. Kwa taarifa yenu nyie MM's kwisha habari yenu...
Sasa wewe unataka mjadala uendee ili iweje. Wahusika wamepewa barua zao ambazo zina tuhuma zao. wewe unataka mjadala uendelee ili iweje. Chadema kiko imara na kinajua taratibu zote zinazostahili kuchukuliwa. kazi kwenu
Huu ni uzushi wa mchana kweupe. Tuambie ni wanafunzi wa Vyuo gani, walikutana wapi wao ni akina nani mpaka eti watoe tamko dhidi ya maamuzi halali ya Chama. Habari kama hizi ni vyema zikiwa kwenye magazeti ya udaku sio JF.
Ndugu naomba nitofautiane na wewe. Huu sio msukosuko mkubwa uliowahi kukipata Chadema kuliko wakati wote. Kumbuka mtajwa mkuu ni naibu katibu mkuu wa chama. Chadema kimewahi kwa uthubutu mkuu kabisa kuwaondoa makamu wenyeviti wa chama taifa wawili. Mkumbuke wangwe na kabouru. Kwa hiyo kitila na...
Mbona na wewe unaongea hadi mishipa imesimama? Una hakika gani nani anasema ukweli kati yao. Acha kuwa jaji kwa kesi isiyokuhusu. Chadema wamethubutu kufanya maamuzi magumu nyie jee au tukumbushane y kuvua gamba, mbona leo kimya kabisa hamtaki hata kusikia kuvua gamba. Ya chadema waachie...
Katiba tumeiyeweka wenyewe na katiba haijaiweka Chadema. Kundi la watu lilikuwepo ndilo likatengeneza katiba. NI YETU WENYTEWE NYIE INAWAHUSU NINI JAMANI, MBOWE MBOWE MBONA MENGINE HAMSEMI. Tutabadili katiba timu hii hii ya ushindi hadi 2015, kwa taarifa yenu uchaguzi katika ngazi ya chama 2016...
Tatizo ni ufinyu wa hoja na mashtaka ya uongo. Lissu kw akweli ni mwanasheria anayezijua sheria za nchi ipasavyo, ndio maana hata bungeni siku hizi wale wakalia kiti wakiona tu lissu anaomba muongozo hukaa vizuri na ikibidi humzuia hata asiseme neno au huo mwongozo. Chezea lissu wewe. Dah kweli...
If it like that then it is ok, you may also expel Tanzanians who are living in your countries illegally. The issue here is living in a foreign country illegally may friends. No matter what, you have to pack and go where you belong.
This is everywhere, it is an international law, that is why...
Hivi jiulize kati ya hayo ya sugu na mbowe na haya mengine ya wasomi na wajuzi wa mambo yapi yanaafadhali, jiulize mwenyewe na ujipe jibu. Nimetaja wanne tu, ila wako zaidi ya 300
1. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa- Nkamia
2. F.U.C.K.U- Selukamba
3. Eti Slaa ana mimba-Lusinde
4.Ya...
Nilibahatika kuona kipindi hicho star tv yaani ndugai anaonekana ana hasira binafsi na dhana nzima ya upinnzani bungeni. Kwa mtazamo wangu spika anatakiwa awe ni mtu asiye na upande wowote anapokalia kile kiti. Tatizo la kiongozi wetu wa bunge hawalitambui hilo, wanafikiri wanavyofanya na...
Hakuna federation ya maana baina ya hizo nchi bila Tanznaia kuwepo. Hao jamaa hawawezi kukaa kwa amani kwa muda mrefu, let them go, sie watz tupo na SADC yetu inatosha. Ngoja tuwaache waende wakaone moto wake. Just have a look eti Kenya Uganda Rwanda na Burundi wawe na political federation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.