Recent content by Mbojo2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Orodha ya Mikoa 15 Inayoongoza Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania "Regional GDP Share " mwaka 2025

    Sijajua mtoa hoja kama anahoja, hivi Trillion 230 tungehitaji fedha kutoka nje kweli? Je deni la trillion 107 Si tungelipa lote. Hizi data sijaelewa kwakweli.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Kuna tatizo la Afya ya akili kwa watanzania wengi kwa Sasa. Serikali ifanye jambo, kuua imekua jambo rahisi sana. Sasa huyu kaua na kalala na maiti mpaka asubuhi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la uchawa ni mishahara midogo sana kazini

    Tatizo Si uchawa, tatizo ni mfumko wabei ( inflation). Hata akiongeza mishahara Bila kushusha mfumko wa bei, machawa yataongezeka. Bidhaa za viwandani kwanini zisafirishwe kwa malori wakati tuna treni ya umeme? Je hao DP world Wana msaada kwa mlaji au ni fedha za Kodi tu? Kupandisha mishahara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Na Si kama wamesoma sana ila kubebana tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Kwa post za kijinga namna ii hili jukwaa kweli bado ni la Great thinker?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnafikiri ni Lissu pekee atatufikisha nchi ya ahadi?

    Tatizo Si Lissu Wala CCM. Tatizo ni elimu.kama mpaka tuna watu wengi wasiojua kusoma na kuandika, walimu hawathaminiwi unadhani mabadiliko yanaletwa na wanasiasa. Kila mwanasiasa anapigania tumbo lake ujue.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu agomea kuhama, vitu vyake vyatolewa nje Siha

    Alishapewa fedha za uhamisho?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Wanajua wanasheria sisi kuelewa ngumu.
Back
Top Bottom