Hapa tuwekane sawa, usikimbilie kuita wenzio pumba,
ngoja nikwambie, kamiminiwa risasi zaidi ya 38 mchana kweupee, watu walimmiminia mpaka sasa hawajulikani, no updates on what is going on, kawa hospital kwa zaidi ya miaka miwili na nusu, anaanza vipi kurudi bila kuhakikishiwa usalama wake na...