Recent content by mbogawile

  1. M

    JamiiForums Tanzania List ya recruitment agencies Tanzania

  2. M

    JamiiForums Tanzania msaada wa mawazo kuhama chuo

    mdogo wangu kachaguliwa ordinary diploma in education chuo cha serikali,,sasa anataka aaamie chuo cha private cha ualimu,je kuna umuhimu wa kufanya uhamisho kutoka serikalin kwenda private??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kupata chuo cha ualimu

    mwenye kujua chuo cha ualimu cha private,,ualimu wa msingi anijuze ,chuo kizur maeneo ya kibaha au mkoa wowote..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha ualimu Dakawa

    asante ndugu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha ualimu Dakawa

    asanteni ndugu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha ualimu Dakawa

    Naombeni msaada kujua mahali kilipo chuo cha ualimu dakawa na jinsi ya kufika, mimi ni muhanga wa uhamisho tuliopewa NACTE baada ya UDOM kujaa. Napata vipi join instruction..
  7. M

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    umepata mkopo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata admission later udom tusaidiane

    naomba na mimi mnirushie jamani kwenye gkabogo5@gmail.com
  9. M

    JamiiForums Tanzania NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    angalia kwenye profile yako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    mimi tayar nimethibitisha,kwa hiyo niangalie majina kwenye web ya udom au hapo bas jina langu litakuwepo,,na vip kuhusu admission
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata admission later udom tusaidiane

    eti huko kuthibitisha ni wapi??Au tunafanyia wap kuthibitisha
  12. M

    JamiiForums Tanzania NACTE selection za diploma za ualimu

    hata mi sielew,nina mdogo wangu nae aliomba,ila mbaka sasa kimya,sijui wametussahau.watuambie mapema ili tu apply sehemu nyingine.
  13. M

    JamiiForums Tanzania naweza kuomba UDOM nafasi au nimechelewa

    asante
  14. M

    JamiiForums Tanzania Diploma ya ualimu au postgraduate ya ualimu?

    haya asante
  15. M

    JamiiForums Tanzania Diploma ya ualimu au postgraduate ya ualimu?

    jaman karibun mnipe wazo mwenzenu,,nimesikia ushaur wenu wa pande zote mbili,lkn bado nipo njia panda,maana kuna mdau kasema mwakan kunaweza kukawa na kuadimika kwa ajira.
Back
Top Bottom