Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Fanya Postgraduate ya ualimu
Kwanza ni mda mfupi
Pili utaanza na TGTS D
diploma nI miaka 2
Halafu unaanza na TGTS C
huu ushauri uchukue kama ulivyo usipunguze kitu utaharibu.
utaona hyo pgt 3.5 ni kubwa ila kwa diploma ya sahivi 3 years ni shiiida