Recent content by Mbiz112

  1. Mbiz112

    Kashfa: Tigopesa wanadhulumu hela za wateja?

    Wezi tu hao mbona Vodacom ukikosea ndani ya saa 24 unakuwa umerudishiwa fedha yako
  2. Mbiz112

    Natafuta Ajira Yoyote

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. Mbiz112

    Tafsiri katika picha

    Usikate tamaa Mkuu..
  4. Mbiz112

    Tafsiri katika picha

    Mmmh! Zika yenyewe imemkwepa imetua kwa Dr. Malecela.... Mbona huyo mama anayejiita Ndalichangu anatoa toa matamko ya ovyo ovyo lakini Hatumbuliwi.... Wanaotumbuliwa ni wengine Daaa!! Kweli..
  5. Mbiz112

    Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

    Mmmh!! Faru John lazima aondoke na baadhi ya wakuu wa hifadhi.. Maana Waziri Mkuu hapendagi Ujinga....
  6. Mbiz112

    Natafuta Kazi

    Asante gud Idea but big problem ni Capital..
  7. Mbiz112

    Natafuta Kazi

    Mimi ni kijana ambaye nimemaliza diploma ya elimu ya mafunzo ya uvuvi mwaka 2014. Natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na fani yangu pia nina uelewa mzuri wa kutumia Computer kama window installation, Program installation, Microsoft Office kama vile Word, Excel na Power Point. Kwa...
  8. Mbiz112

    Natafuta Kazi

    Mimi ni kijana ambaye nimemaliza diploma ya elimu ya mafunzo ya uvuvi mwaka 2014. Natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na fani yangu pia nina uelewa mzuri wa kutumia Computer kama window installation, Program installation, Word, Excel na Power Point. Kwa mawasiliano zaidi 0719008082
Back
Top Bottom