Tafsiri katika picha

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,532
2,000
Yaani hilo lichupa likubwa hivyo ndo msiidii?? Kweli watu mmechoka uraiani. Aliyelibeba mbona katumbuliwa?
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,057
2,000
Hawa ma cartoonist ni wachochezi wasio itakia mema nchi yetu. Nchi yetu Uchumi wake unakua kwa kasi kuliko nchi nyingine yoyote ukanda wa maziwa makuu. Tumenunua ndege, tumetumbua majipu yote, tumeleta usafi day, Tumekuza Uhuru wa vyombo vya Habari na kujieleza, wananchi wanatoa maoni yao pasi na woga wala shaka, timekuza demokrasia, vyama pinzani wanafanya mikutano yao kwa Uhuru na uwazi bila kubughudhiwa, tumeleta gwaride LA kimyakimya, hospitali dawa kibao.
CCM oyeee.
[HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG]
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,499

Do kweli

Bujibuji mkuu, ndiyo maana nimewaweka hapa tuone unafiki wao.
 
Mbiz112

Member
Aug 26, 2016
8
45
Haya mkuu huenda bado yupo, kama yupo basi zika itamzika tu
Mmmh! Zika yenyewe imemkwepa imetua kwa Dr. Malecela.... Mbona huyo mama anayejiita Ndalichangu anatoa toa matamko ya ovyo ovyo lakini Hatumbuliwi.... Wanaotumbuliwa ni wengine Daaa!! Kweli..
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,532
2,000
Mmmh! Zika yenyewe imemkwepa imetua kwa Dr. Malecela.... Mbona huyo mama anayejiita Ndalichangu anatoa toa matamko ya ovyo ovyo lakini Hatumbuliwi.... Wanaotumbuliwa ni wengine Daaa!! Kweli..

Mkuu;
Usiombee mabaya wengine. Hata akitumbuliwa, sitegemei kupata nafasi yake kwani nadhani nafasi za kuteua tiyari kwisha maliza. Na uchaguzi nilishindwa kwenye maoni tu sikufika hata jimbo.
 
NAMTUMBA

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,940
2,000
Hawa ma cartoonist ni wachochezi wasio itakia mema nchi yetu. Nchi yetu Uchumi wake unakua kwa kasi kuliko nchi nyingine yoyote ukanda wa maziwa makuu. Tumenunua ndege, tumetumbua majipu yote, tumeleta usafi day, Tumekuza Uhuru wa vyombo vya Habari na kujieleza, wananchi wanatoa maoni yao pasi na woga wala shaka, timekuza demokrasia, vyama pinzani wanafanya mikutano yao kwa Uhuru na uwazi bila kubughudhiwa, tumeleta gwaride LA kimyakimya, hospitali dawa kibao.
CCM oyeee.
[HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG]
Akili za kichwani usichanganye na zamatakoni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom