Recent content by Mbitiyapi01

  1. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mmehamia kwenye mguu sio kifo tena!!??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Piga Nyundo tu.... Anakaza server tu Kwa upuuzi ....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kitimoto nacho BEI JUU!

    Itakuwa pale bwalo la jeshi bububu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitimoto nacho BEI JUU!

    Kitimoto kimepanda bei kidogo kutokana na ndugu zetu katika Imani wamerudi sokoni ...mdudu Kawa adimu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitimoto nacho BEI JUU!

    Hata kula kisamvu ni hatari Kwa binadamu wengine....jikite na kisicho na madharau kwako ... tusipangiane
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa naogopa kumtongoza; jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

    Bora huyo aliyekwambia kulala 20,000. Mwanachuo ukimlisha asubuh , mchana na jioni hata 10,000 haifiki na unamlala hata wiki nzima.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa naogopa kumtongoza; jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

    Minya parachichi nyingi kwanza uone ipi Ina ubora....
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa naogopa kumtongoza; jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

    Bora mmalizane yaishe sio mara ya wigi, ya saloon, mara pedicure, mara gesi imeisha, mara mama anaumwa....mpe hiyo efulu Tano Kila wingu likitanda unamuita yanaishia Hapo no mahusiano mengine. Mnapata bahati mnachezea
  9. M

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Katiba ni ajenda ya wapinzani ...ajenda ya wapinzani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Ndio imeanza Leo kutumika kuliko petrol kaka .... Mbona miaka yote ilikuwa chini ya Petroli!!??
  11. M

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Maelezo mengi umeruka swali la MSINGI ... Bei ya mwezi uliopita ilikuwa chini na bei ya soko duniani ilikuwa juu ...mind you (walisema stock IPO mpaka mwezi July) ..leo bei ya soko ipo chini bei imepanda ..msitufanye wajinga kiasi hicho kaka HIZO PRICE CEILING NA PRICE FLOOR ZIPO KWENYE...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    Kakaaaa acheni basi kuwa PRAISE POWER mpaka aibu.... Kuna documentary nyingi tu zipo SAFARI CHANNEL Zina ubora kuliko huo wa RT ..... Na nnamini Zina gharama ndogo kuliko huu upuuzi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

    Mnataka kupangiana Imani ..hizo sio akili .... Imani yako uliyoikuta Kwa wazazi wako baki nayo hukohuko .....
  14. M

    JamiiForums Tanzania JF Party zirudi maana zilifanya tuwe na umoja

    Wanaivamia tu party wawanabeba mtaenda kupiga story Kimanzichana .....
Back
Top Bottom