Mimi ni mpenda mabadiliko toka jimbo tajwa,nasikitishwa na sintofahamu iliyotanda ndani ya wapiga kura kuhusu nani kati ya Mhe Bhilago Wa chadema na Mhe Mawazo Wa NCCR-Mageuzi, atapitishwa na kamati husika ya UKAWA kutetea jimbo dhidi ya Eng.Christopher Kajoro Chiza toka CCM.Binafsi nisingependa...
Sasa kama umeshapata mgombea wako wa rais uliye na imani naye tatizo liko wapi la kukaa kimya ukisubiri tarehe ya kupiga kura badala ya kushinda Jf unapika majungu? "kama vya ukawa vinanuka tema mate uchape ndala"
Chondechode ukawa malizeni tofauti zenu kwa maslahi mapana ya wananchi na siyo mgawanyo sawa Wa madaraka kwasababu muda huu uliobakia ni wakuweka mtu anayekubalika na wananchi bila kujali niwa chama gani kati ya washiriki Wa ukawa na siyo kuweka chama bila mgombea madhubuti la sivyo bao la...
Transparency na ujamaa ktk karne ya 21 halafu bongo ni sawa na mgonjwa wa HIV akiwa stage ya 4 kuambiwa atumie ARV kwaajili ya kuongeza CD4 huku akiamini kuwa atapona!!!!!!?
Hakuna haja ya kurumbana kwasababu wanafahamu fika kuwa vyote vitakula redi kadi kwa nguvu zote (katiba ya watawala na CCM fisadi) maana kila kukicha ni heri ya jana!!!!!!!!!
Shida siyo 76,500/= bali ni kutokuwepo kwa network maeneo mengi ya Tz.Nadhani swala la kujitanua zaidi ndilo lipewe kipaumbele kwanza vinginevyo fursa hiyo ni nadra kwa wengi kutokana na watu wengi kuishi vijunguni(vijijini) hivyo si rahisi kufikia malengo kwa wateja hata wakifanikiwa kujiunga...
kama wanasema EL ni fisadi basi serikali ya CCM ndoo ilaumiwe maana ni vigumu mtoto wa kambale kukosa masharubu kutokana na genetic inheritance from parents!!!!!!!!!!!!!
Kwani ACT wana lipi jipya zaidi ya kutafuta ulaji pamoja na janjaweed wao mpya? Nakwa taarifa CCM hatuko nyuma yake tena ila tunashukuru kwa kutusaidia katika harakati zetu za matumaini!!!!!!!!!!!!
kimtazamo Pengo yupo sahihi lakni serikali nayo imepata wapi haki ya kumchagulia mwananchi aipigie kura ya NDIYO katiba ya walanchi?,Naomba kuwasilisha wana Jf.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.