Recent content by Mbishi Uswazi

  1. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla hapo lazima wamnase. Kwa sababu hakuna uthibitisho wa kuchambua mtu hisia na mihemko yake

    Inakuaje Waziri Mkuu una maindi vitu vidogo vidogo kama hivi
  2. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Lissu, Lema na Maria Sarungi wana agenda nyingine?

    Unaongea kama Mjinga
  3. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Ukiweka sumu kwenye chakula changu, hata kama sumu hiyo inaua ndani ya dakika 1, sifi. Sababu hii hapa

    Utakufa mzee, Kuna andiko Linasema usimjaribu bwana Mungu Wako
  4. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akutana na Kaimu Balozi wa Marekani kujadili umuhimu wa michakato ya uchaguzi huru, wa haki, na wa amani

    Lissu ajitahidi akutane na Elon Musk, Musk ni Simu Moja tu kwa Trump anashusha nyundo Moja tu tume huru inapatikana
  5. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa mabasi ya mwendokasi yanapitiliza bila kubeba abiria, wanadai eti wanawahi kufuturu

    Hawa jamaa zeru waroho sana hasa linapokuja swala la kula
  6. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Pumba
  7. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Kwa Matokeo ya uchaguzi wa leo Marekani, naamini kuwa mwaka 2020 Trump aliibiwa kura zake kama alivyodai

    Kupeleka wizi kwenye uchaguzi wa marekani ndo siasa zane zilipo
  8. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

    Ukweli ni kwamba unatoa 60k na bado hilo shimo hauliingilii peke yako
  9. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Wife aliniamsha usiku wa manane ni mfuatie embe bichi kisa ana mimba

    Mimi tungekesha tunabishana siwezi kutoka usiku wote huo kwenda kutafuta Embe
  10. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

    Anamuaribu mwenyewe anamsingizia mama yake
  11. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

    Mtoto wa Miaka 9 unaongea nae kuhusu mambo ya Kuolewa na Kuzaa?
  12. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Hii hali kwenye biashara siyo ya kawaida

    Tayari wameshakuingiza kwenye mfumo
  13. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

    Hili uwa dish Kwa nchi za wenzetu huyu alikua na kesi ya kujibu
  14. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Acha ujinga mkuu, kauli za namna hii inatakiwa wozitamke watoto wadogo au wenye upungufu wa akili
  15. Mbishi Uswazi

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anapochoka na kazi uliyompa

    Yawezekana unamzungusha kwenye malipo Ubaya ubwela
Back
Top Bottom