Recent content by Mbirombiro

  1. M

    Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

    Ushauri Kwa hao wawekezaji wanatakiwa kuweka mfumo wa kuvuna maji mengi wakati wa masika na wakati wakiangazi kama huu kuacha kabisa kuvuna mtoni.Kusitisha kilimo cha umwagiliaji si sahihi sana
  2. M

    mwenye past papers za cpa 2021 na 2020

    NBAA IKO WAPI JAMANI KWA NINI HAWAJAWEKA WEBSITE YAO
  3. M

    Mkakati wa Chato kuwa mkoa wapingwa rasmi na RCC ya mkoa wa Kagera

    Asante bishop mungu akutunze ili waje watawala wema wakutumie.naomba nama Samia akutumie Kwa manufaa ya taifa tz
  4. M

    Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    usicheze na siasa za dunia chanjo ya korona umepewa kama zawadi ndio uwe kaidi. tunataka katiba ndio mwisho wa yote.
  5. M

    Mnyika unalalamika 'charge sheet' kutotaja kiasi cha pesa Mbowe alichofadhili ugaidi; hii ni sababu ya kutokuwa na hatia?

    Tujifunze kudadisi pasipo kuwa hisia upendeleo. Hoja yako hata shetani anakushangaa.ehe mungu mshike mbowe Kwa mkono wako wa kuume.
  6. M

    Baada ya kukosa ushawishi kwa Wananchi, CHADEMA sasa wanaishitaki Serikali kwa Wazungu

    Acha hoja zisizo na mashiko. Uhuru wetu ulitokana na usaidizi wa mnaowaita mabeberu. Sio watu wote ni wajinga utawadanganye
  7. M

    TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Usidhihaki msiba.usimtukane mkunga na uzazi ungalipo,usirudie kosa Kwa sababu mwenzako alikosea na mbele ya mungu kila mtu anahukumiwa Kwa makosa yake.Pole familia ya mbowe. Na mbele ya mungu kila Jambo Lina kusudi lake.
  8. M

    Je, Tozo ya kizalendo imepelekea double taxation kama Mbowe alivyoonya?

    Mtumishi anayelipwa mshahara kupitia TIGOPESA AU MPESA ni baada ya Makato yote ya Serikali kupunguzwa m.f PAYE sasa anapotoa mshahara wake kwenye tigo pesa atakutana na punguzo la VAT 0.18 na hili jipya la Tozo.Hii ni zaidi ya double taxation!!! Multiple taxation . Bunge dhaifu Sana katiba mpya...
  9. M

    Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

    Is it Mzumbe? or some where else.pls revise
  10. M

    Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

    Hoja imekidhi kanuni 20/80 ya Pareto uamuzi wa kuruhusu vyama vingi ulizingatia hii kanuni na Mambo mengi duniani. Katiba mpya haikwepeki muda utasema!!!!
  11. M

    Ofisi ya Rais - TAMISEMI itoe muongozo wa umri sahihi mtu anaotakiwa kuwa nao anapomaliza chuo

    Kipengere cha uzoefu kazini unacho! Hii fulsa Sawa Kwa wote.
  12. M

    Wazanzibar kuongoza Wizara/Taasisi zisizo za Muungano imekaaje kisheria?

    Njia ya kuwashawishi Wazanzibari kuikubali Serikali moja. Mabadiriko ya katiba hitaji la wananchi na siyo wanasiasa
  13. M

    Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

    Umeeleweka asilimia 11.5 ya deni lite la nje. He asilimia 88.5 inayobakia ni za nchi famil ?
  14. M

    Serikali, wapo wageni wenye passport ya Tanzania. Wachukulieni hatua; nchi hii ni mali ya Watanzania

    Roho ya Kwa nini wezangu walipata Mimi nilikosa hafai.pambania uraia Pacha ndio jawabu.
Back
Top Bottom