Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 570
Uraia wa TZ unaupata kwa njia tatu. Lakini mleta mada anauhakika hawajapata uraia kwa njia mojawapo nje na ile ya kuzaliwa TZ (na ambapo mzazi mmoja au wote ni watz? Na Tanzania hata ukioa/kuolewa na mtanzania lazima uombe uraia kwa vigezo vilivyopo.Definition ya uraia ni ngumu sana kuielewa hata mimi huwa inanisumbua mpaka leo.
Na mabingwa wa passpoti mbili ni wahindi mbona hilo hajalisema? Ajenda mezani ni uraia pacha ufikiriwe.