Recent content by MbingaT

  1. MbingaT

    JamiiForums Tanzania Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

    Vijana, tunakabiliwa na changamoto nyingi. Ukosefu wa mitaji ni kikwazo kikubwa. Hata tunapopata fursa au kuwezeshwa, wengi wetu hatuonyeshi uthubutu na uwajibikaji. Matokeo yake, tunawalaumu wengine kwa roho mbaya na kuwanyima fursa vijana ambao wako tayari kufanya kazi kwa bidii. Ni wakati wa...
  2. MbingaT

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Wazee wa magetoni, tupatieni connection za michongo ya kazi, na sisi tupange! Kutoka nyumbani kama hauna mchongo wa kufanya ni too risk ni kama kuvuta bangi karibu na geti la kituo cha polisi.
  3. MbingaT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokutana na malaika, sitaki kumpoteza, nyie mlivukaje stage hii?

    Pole sana age mate. I have the best friend by my side, she is friendly, humble, loving and caring. She's always there to help through the good times and the bad. What I'm going through, I haven't made it financially yet, I'm working here and there, but things are getting harder and harder...
  4. MbingaT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alufu tatu mbona nyingi, si ungesema hata Mia tano! But anyway she is promising, sio kama wa mleta mada.
  5. MbingaT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

    Umeeleweka mkuu!
  6. MbingaT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushaachana na kaniblock sahivi kapoteza funguo anaomba nimsaidie

    Samahani makuu, umri wako tafadhali? Sasa kama mliachana kwanini bado ulikuwa unatunza funguo za watu?
  7. MbingaT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

    I've this princess [emoji3590] of my heart!
  8. MbingaT

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

    NI ukweli mtupu , sisi vijana tuna matumizi mabovu ya pesa!
  9. MbingaT

    JamiiForums Tanzania Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

    Sawa sawa
  10. MbingaT

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kusoma shule za Seminari

    Seminari nimejufunza wizi wa nguruwe,kuku na mbuzi
  11. MbingaT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

    Sijakumbana na aibu kubwa ya kunifedhehesha
  12. MbingaT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

    Mbona mambo ya kawaida sana! Ingekuwa busara kama uzi wako ungepeleka kwenye jukwaa la Habari na hoja mchangsnyiko.
Back
Top Bottom