Recent content by mbinga74

  1. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

    Kukopa ni normal issue ila unaielekeza ktk kipaumbele kipi hyo ela na usimamizi mzuri wa matumizi, Ila huwezi kuepuka kukopa kwa nchi Kama Tanzania.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

    Ujue ukiwa na Dada lazima uwe na shemeji, na lazima ujue kuwa shemeji yako anafanya tendo la ndoa bila kupepesa macho,sasa Kama unajitambua kwa nn ujilazimishe kwenda club et kisa kuwajenga kisaikolojia mashemeji,niliwaita mie? ratiba ibaki Kama ilivyo kwan wanaweza kukaa mwezi mmoja utafanya nn?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Mishahara ikiongezwa ata kimya kimya itajulikana tu ivo huwezi kukwepa hiyo inflation, ila ni bora tulalamike inflation wakati Kuna kilichoongezeka .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ( HESLB) imetengeneza chuki kubwa kwa riba ya asilimia 15%

    Ndugu yangu, ujue mikopo ni sehemu ya biashara ndio maana Kuna hiyo riba hawakukopeshi kwa lengo tu la kukunufaisha Bali ata wao wapate faida.Ukitaka kuepukana na kadhia hiyo weka malengo ya mda mrefu ili usiingie kwenye mikopo kwani ata mafundisho ya dini yanasema kuwa mkopo ni haramu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ZANTEL ndio baba lao Tanzania. Kasi ya internet, bando la uhakika MB na dakika

    Tayari wameanza kuzingua wamenichukulia mb zangu Mara mbili in short, NI zaidi ya ukorofi najiandaa kuwakimbia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kufuatia nguvu inayotumika kuua sifa nzuri za Magufuli, tutgemee nini Watanzania?

    Kafanya Mambo mengi Sana mazuri, lkn yapo Mambo mengine mabaya aliyoyafanya usiwakataze watu kuongea hayo mabaya waliyoyaona kipindi hicho ispokuwa waelimishe kwamba so vizuri kujadili udhaifu wa mtu wakati mwenyewe amefariki. He was a human being not Angel.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msamaha kwa Siasa zangu chafu na Propaganda

    Jambo kubwa ungejitambulisha wewe ni nani ulitukosea maeneo gani 'be openly' ukiamua kutubu usione aibu kwani unazaliwa upya, lkn pia BWANA alisema"Atakaenionea haya mbele za watu na mm nitamuonea haya mbele za baba"
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kusema hawatavunja mashine za kujifukiza, Kigwangalla ahoji zaidi...

    Mawazo yake no mazuri na fikirishi tuyafanyie kazi,tusimuhukumu kwa yaliyopita maana tunatakiwa kuishi kulingana na mvumo was upepo
Back
Top Bottom