Recent content by mbilinyi

  1. mbilinyi

    Mahakama imetoa zuio la kujadili taarifa ya CAG kuhusu Tegeta escrow Bungeni

    mmmm wadau tunasubiri kwatija kubwa siku ya kesho kwenye mjadala wa zaid ya 300b
  2. mbilinyi

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Ngorongoro

    sasa mnataka nape afanye nini kwa wakati huu hata yeye anaona chama kinavyo poromoka na mbaya zaidi hawezi kuzuia hayo maporomokokwani yanakuja na majabali makubwa sana yana bomoa vizingiti vyote vilivyopo inabidi atazame tu na kubaki ofisini la sivyo yatamsomba nayeye.
  3. mbilinyi

    Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

    Na itakuwaje bunge wakipiga kura ya kutokuwa na imani naye pia mpaka aliyemteua aridhie ndio aachie ngazi au nipe jibu hapo
  4. mbilinyi

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Ni wazi kuwa matokeo haya yamemfurahisha kila mtu binafsi naamini hata wana ccm wenyewe watakuwa wamefurahi japo furaha yao inakua nndani kwa ndani kwani walikuwa wanajua kuwa ahadi zilizokuwa zikitolewa na viongoziwao si zakweli ni za kumdanyia mtoto peremende ili anyamaze kulia. ivyo nami...
  5. mbilinyi

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Hata nami nimeshangazwa na taarifa ya dr kashilila kwani hata kuongea kwake kulikuwa kwa kusitasita sijui kulikoni huko muhimbili but tunajua mungu yupo pamoja naye na atampa kupona ili atekeleze arakati za kuubainisha ubadhilifu wa fedha za umma kama tarehe 31 october kamati yake imemwita...
  6. mbilinyi

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    msisahau kuiput kwenye vyombo vya habari ili nasi tufaidi kinachotokea huko dc.hasa vire vikubwa.
  7. mbilinyi

    Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

    Nape umeonyesha jinsi unavyo pambana na ufisadi kwenye chama chako na hata kukawa na minon'gono mafisadi fulani wajivue gamba na hata baadhi wakatajwa hazarani mmoja akiwa rostam sasa ebu tuambie kama rostam ni mmoja kati ya mafisadi, na wimbo wako mafisadi wajivue gama rostam kaamua mwenyewe...
  8. mbilinyi

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    MMMM hapo umempatia pia aelewe hatufurahii kitendo hicho ila tunachukizwa na mtu asie toa habari za uhakika polisi na badala yake kuchafuana kwenye jamii .kama alishuhgudia why not kutomsaidia mwenzao au kufanya juhudi za kumuokoa mwenzao au naye ni mmoja wao ajitokeze basi asaidie upelelezezi.
  9. mbilinyi

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    mustafa ni vyema ukawa na uhakika kwa kile unachokiriport kwetu la sivyo utakuwa unapotosha umma kwa kuzungumnza kiti ambacho huna ushaidi nacho. au ndiyo mbinu za kuichafua cdm hautafanikiwa ng'oooo. ukiisema cdm vibaya unajitafutia kuchanganikiwa.
  10. mbilinyi

    How to use JamiiForums effectively

    Ni wazi kagoda inatisha ni vyema sasa watanzania tukawa majasili wakusimamia mali zetu za kitaifa
Back
Top Bottom