Recent content by MBILIA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mme wangu alinigeuza DISPLAY kwa hawara yake hotelini bila mimi kujua

    Nashukuru sana kwa michango yenu. Ijulikane kuwa mtu akimtaja mtu jua mtu huyo huko sahihi. Pia michango yenu yote ndiyo naifanyia kazi. Sikujua kuwa mabaraza ya upatanishi yanahitaji kwanza barua toka mwenyekiti wa mtaa, yote ni ushauri wenu mzuri sana. Ila si vibaya kuwajulisha wenye ndoa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mme wangu alinigeuza DISPLAY kwa hawara yake hotelini bila mimi kujua

    Baada ya sherehe iliyomhusu, mme wangu June 2012, alitoa ofa ya chakula cha jioni kwa familia na wageni wetu. Tulipofika pale hotelini tuliwakuta wadada wa2 wa kiafrika, (Ile ni hotel ya kichina). baada ya dk7 hivi wale watoto wakaondoka kwa miondoko iliyotufanya tucheke. juzi nimesaidiwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi haki za mtu mwenye tunuku ya kidplomasia?

    Hujaeleweka. tiririka vizuri plz
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi haki za mtu mwenye tunuku ya kidplomasia?

    Naombeni kujua haki za raia wa Tanzania mwenye kutunukiwa u-diplomasia ktk jamii yake na ktk kimataifa pia. Mf. all wives and husbands of Tanzania judges are automatically ranked diplomats.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Si rahisi kukurupuka tu na kuweka thread kama hii hapa. Kwa ujumla ninaushahidi tosha. Ila nilichohitaji NI ushauri wa je, nivunje ndoa au la? na kwa kuwa huyu ni Jaji nianzie wapi. Sasa mlichoniongezea nashukuru sana. Kwani nimefunguka sana. Ushauri wangu kwenu: MFICHA UCHI HAZAI TIMES HAVE...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Hilo sahau kabisa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Usidhani jambo hili limeanza leo hata nipaniki. Since 199... Lakini ninaposema nimechoshwa. Siyo tu ninangeo bali mangeo ya miaka. Ukimwalika msuluhishi anamchukia mtu huyo. Sasa ana marafiki anwalaani kila siku kwa mimi kuomba suluhu toka kwao. Tabia hii sisi wazee tusipoisema vijana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    of course. Ninazo za Tigo, air tel na Voda. Ni upuuzi mtupu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    I was married on 27th April 1991 keko Lutherani Church at 16:30. We engaged in year 1988 At the UDSM. Aliyefunga ndoa yetu alikuwa Mzee malasusa (Baba ya..)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    MKA thanx very much. Hiyo bodi naendaje? Nipo dar. mali zote najua zilipo hata nyumba alizojengea mahawara najua zilipo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Binafsi nawakilisha kilio cha wake za wanasheria duniani.Wengi wameuawa na kupigwa wakakosa hata pa kushitaki. Mfano tunao wa mama yule wa Mkwepu Posta. lakini ushahidi wote ulitupwa kwa kisingizio kuwa yule mtoto wao angekosa mtu wa kumlea. Hivyo for the first time maiti akakosa haki. Je, damu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Nawashukuru sana kwa maoni yenu. ijulikane kuwa ndugu zangu wakubwa wote wamefariki mimi ndo mkubwa sasa. Ktk msg zingine za aliyeolewa zinaonyesha wake na mawifi wakiwasiliana na mwolewaji. Pili nina ngeo ya nyuzi 5 kichwani na ya mdomoni niliona aibu kwenda hospital ili tu nimlindie heshima...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Mme wangu ni mwanasheria Jaji, lakini sipendi kuishi naye tena kwani kwa dogo dogo hashikiki. je, nitumie njia zipi kuvunja ndoa? Nina ushahidi mwingi sana wa msg nilizozikamata, pia zingine zinaonyesha tayari isha oa bila taarifa yangu. Sasa pia anatishia kunifukuza ili niondoke bila haki...
Back
Top Bottom