Recent content by mbikichooo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama ndo ukweli huu! Siungi mkono Beno kurejea Jangwani maana alimdharau Kocha

    Mlipeni hela acheni kujifanya kuwa hamjui kama hamjamlipa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Ulaya mzunguko wa 16 bora

    Liverpool out
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kama huyo binadamu yuko shallow hivo, au alikusudia kufanya hivo haiwezekani msomi kuongea upupu huo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge washangaa sheria ya mafao, wasema kipengele cha mstaafu kulipwa 25% na 75% kwa miaka 12 kilifichwa

    Nawachukia hawa wanaojiita wwakilishi wa wananchi
  5. M

    JamiiForums Tanzania RC Mtwara: Sheria ya kumfunga mwanaume miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi ilitungwa kimihemuko, haimuwajibishi mtoto wa kike

    Hizi sheria zimetungwa kweli kwa mihemko haswa nahic imetungwa na akina mama
  6. M

    JamiiForums Tanzania Beno David Kakolanya Tanzania one

    Mechi saba tu mnapiga mayowe?
  7. M

    JamiiForums Tanzania BMT yaitaka Klabu ya Yanga kufanya Uchaguzi na kusimamiwa na TFF

    Tuone kama watagoma tena
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu naye ahusishwa kujiunga na CCM

    Kwa Esther matiko hana option nyingine kama anahitaji kuendelea kuwa mbunge wa tarime lazima ahamie tu ccm, au achague kurudi kulima nyabhirongo huko kwao,so mnaombwa mmuache tu Dada wa watu nani asiyependa kushiba?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Niliwalaani Taifa Stars Moderators wakaunganisha uzi wangu na uzi mwingine tofauti

    Mimi niliumia sana taifa stars kutoa sare na Uganda kwao, kwa kweli waganda wametuponza sana nawalaumu sana, kwa nn wametufanyia hivi kwa nn hatujafungwa? Nilisikitka sana nilipokuwa nawaona watanzania wanavimba kichwa kwa timu mbovu sio mbovu kwa kukosa wachezaji wazuri, ila mbovu kwa kuwa na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa ashikwa pabaya Iringa mjini

    Mbona sielewi content ya huu Uzi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tununue magoli uwanjani

    Bakuli fc
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Jamani watanzania huu sasa ukatili capacity 100 kubeba miatatu duh this is bongo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Arumeru: DC Muro awalazimisha walimu wote kushiriki katika mkesha wa mbio za mwenge

    Walimu nao shida tu wanaenda kuomba ruhusa kwa Mkuu wa wilaya? Tutafika kweli?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Huyo lijua likali mmmh !!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni trela ya kampeni za CCM 2020. Wapinzani mkae mkao wa kupigwa.

    Hao wanaonjeshwa tu hawana chao 2020 wajiandae kisaikolojia chochote dhidi yao chaweza tokea
Back
Top Bottom