Recent content by mbikagani

  1. mbikagani

    Moja ya video Prof. Palamagamba Kabudi asizopenda kutazama kabisa

    Alikuwa hana sababu ya kueleza kwa majigambo. Angeeleza jinsi inavyotumika tu na angemuomba Mungu atusaidie, ilikuwa inatosha.
  2. mbikagani

    #COVID19 Sheikh Farid Mussa aibuka na Msimamo wa Waislamu Juu ya Chanjo na Imani ya Kiislamu

    Thats why nimeandika hapo kuwa wataalam watuambie how the God's creation will be changed.? Zile genetic materials(DNA & RNA) zinabadilisha vipi uumbaji wa Mungu? Watu waelimishwe ili waelewe na siyo kuwazuia tu.
  3. mbikagani

    #COVID19 Sheikh Farid Mussa aibuka na Msimamo wa Waislamu Juu ya Chanjo na Imani ya Kiislamu

    Nafikiri tunaitaji ufafanuzi wa wataalam. Maana sehem hiyo ya aya inasema......."I will command them so they will change the creation of Allah" Huyo ni shetani anajinasibu kuwa atawalazimisha mwanadamu wabadili uumbaji wa Mungu. Pia wanazuoni watuambie hayo maumbile yanayobadirishwa ni kwa...
  4. mbikagani

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Yupo sahihi, lakini Atoe bolti iliyo jichoni mwake kwanza.
  5. mbikagani

    Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Naunga mkono alichokisema. Hawa wote ni wateule wa rais, anayehusika na masuala ya elimu ni waziri wa elimu. Huyu anahusika na mambo ya ulinzi na usalama. Watoto wakitembea kwa mwendo mrefu na maeneo hatarishi wakipatwa na hatari kama kubakwa au kutekwa linakuja suala la ulinzi ambalo...
  6. mbikagani

    Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

    Siyo hali ya kawaida, kuna kitu zaidi tunavyoona katika clip.
  7. mbikagani

    Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    Wadada wengi kutoka sehem kama Chamwino, Kiwanja cha ndege na Mazimbu wamepoteza ajira zao.
  8. mbikagani

    Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    Suala la kifo ni juu ya aliyetuumba. Lakini hisia na kile mtu alichofanyiwa na aliyekufa siyo vibaya kukielezea.
  9. mbikagani

    Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    Tulikuwa tunaelekea pabaya sana kama nchi
  10. mbikagani

    Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    Wamevurugana na serikali ya awamu ya tano.
  11. mbikagani

    Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    Mazava kilisimamishwa kwa ajili ya corona, lakini baadaye kilifungwa kwa ajili ya kutoelewa na serikali katika mambo ya ulipaji kodi
  12. mbikagani

    Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    Where you are. Sehemu nyingi kuna mambo yakifanyiwa kazi kwa maelewano mazuri nchi itapiga hatua kubwa sana.
Back
Top Bottom