Moja ya video Prof. Palamagamba Kabudi asizopenda kutazama kabisa

Waswahili na Waafrika kwa ujumla wanataka tumaini bila kuuliza suala au swali kwa ville limesemwa na Rais.

Hata ktk clip hii tunaona Prof. Palamagamba Kabudi akisisitiza "rais mwenyewe" amesimamia mchanganyiko wa mitishamba hii kutibu uviko hivyo tuibugie bila kuuliza maswali.

Na udhaifu huu haupo ktk suala la afya bali ktk kila sekta iwe miundo mbinu, elimu, bunge, polisi n.k Rais akiagiza watendaji na wananchi hawatakiwi kuhoji. Ona sasa madhara yake ni aibu kubwa.

Viongozi wote awe Rais , makamu , waziri Mkuu, Jaji Mkuu, spika, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya muruhusu kuulizwa maswali au kuhojiwa kwa uwazi ili msaidiwe msifanye makosa kama haya yanayo adhiri umma kwa upana mkubwa.
 
Back
Top Bottom