Recent content by mbezijohn

  1. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Mh. Makonda, kwa Kamanda Sirro umekwaa kisiki

  2. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais mama Samia Suluhu asafiri kwa ndege ya ATCL kwenda Mwanza

    Mama yetu Samia makamo wa rais ametumia ndege za shilika la ndege Tanzania ITCL Kwenda mwanza nakutumia shilingi milioni saba na laki sita( 7600000) yeye pamoja na ujumbe wake nakuokoa zaidi ya sh milioni arobaini kama angepanda ndege binafsi nini mtazamo wako
  3. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini ina vituko, ushindi wa Trump haujatangazwa bado

    Habari zenu wakuu, Vyombo vya habari huko Korea Kaskazini havijatangaza bado ushindi wa rais Mteule wa Marekani, Donald Trump kwa raia wake. Kuna nini hapa?
  4. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Nchi imeharibiwa na Utawala huu wa Awamu ya Tano, laana na itakuwa Juu ya Nchi

    Nani mtunzi wa kale kawimbo nikumbusheni
  5. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    Toa mtazamo wako juu ya wamama wale walio tumwa kumchafua Tramp
  6. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja Ikulu, Rais Magufuli afanya makubwa

    kazindua kiwanda kimoja bado vinne kwa muhura huu wa kwanza
  7. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    tunasema tanzania ya viwanda alafu hao wasomi wa kusimamia viwanda hawapewi mikopo ya kujiendeleza na elimu ya juu hii inakaaje
  8. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wameipa Serikali siku saba kutoa kauli kuhusu wanafunzi kukosa mikopo

    Tanzania ya viwanda
  9. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Buguruni wajibu Juu ya Scorpion, wasema wengi hawajui kilichotokea, wamtetea Scorpion

    nayeye scopion aende clouse kuchukua bajajj
  10. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Mnakarabati nini kutumia bilioni 60 kwa shule za Ihungo na Nyakaho?

    Itakua wana jenga kiwanda cha sukari
  11. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Siasa tena kwenye ilani yenu
  12. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Ivi zile milioni hamsini kila kijiji zilifikia wapi huku kwetu hazijafika bado
  13. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Walimu wamtisha Rais Magufuli, wampa siku 15

    Mwalimu cheza kibati wanao wasife njaa
  14. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Jangwani kuna Bundi gani linalosumbua

    Nataka kufirisika msaada jaman
  15. mbezijohn

    JamiiForums Tanzania Jangwani kuna Bundi gani linalosumbua

    Wanamuwaza kichuya
Back
Top Bottom