Recent content by mbezijogoo

  1. mbezijogoo

    Kwanini Rais Kikwete hampi kazi Balozi Ami Mpungwe?

    Alinufaika kibinafsi anaridhika kwani kwao ifakara ana Zoo kubwa yenye uwanja wa ndege, jumba kubwa la kifahari liloshehena kila Hitaji, na vindege vyake uenda vikampeleka na rafikiye Mr Miss Tanzania wakaenda na warembo wao wakifanya Usodoma wao. Haitoshi jumba la kifahari lililopo mbezi...
  2. mbezijogoo

    HOAX: Mgomo wa wauza mafuta kesho, jaza leo mafuta!

    Amejua na kesho yanashuka tena bei hivyo anaona afadhali bei ya Leo watu wanunue japo apate kanyongeza ndio kaleta humu Janja yk, lakini Waaaapi nani kakwambia wote hatujui Janja yako! Umebugi men!
  3. mbezijogoo

    Siri imefichuka,Mimba ya Aunty sio ya Moze Iyobo

    All 2 all Faraja atabaki kuwa mke mmiliki wa Mali za huyo Twiga wetu mpk cku ya mwisho yeye Twiga wetu km alichelewa kutotoa kivyake Faraja kafunga sasa anakusanya mauzo tu naye ya kodi za mbugani. Wangapi wanazaa nje ya ndoa Kama ...... mbona mkewe anatambulika kimataifa na duniani kote! Shida...
  4. mbezijogoo

    Je, wajua? - Special Thread

    Ubarikiwe kwa Mada hii inatokea x chache sana humu!
  5. mbezijogoo

    Zari aibana pua ya Diamond....

    Wewe nawe mapenzi yk kwa hawa watu yanavyokueusha bac unataka wooote wapee attention na hao viumbe? Tafuta kazi vinginevyo utatuletea pumba nyingi humu ndani
  6. mbezijogoo

    Hii wasome akina dada/mama tu wanaotumia usafiri wa pikipiki

    Ni kweli hatari sana nguo ikinasa kwenye gurudumu dadangu alipatwa na mkasa huo ilikuwa ni mtandio ulinasa na speed ya bodaboda basi ukamchinja shingo sehemu kubwa akashonwa nyuki 12 ilikuwa kifo lakini aliponyongwa na huo mtandio alitamka maneno haya "Ashahadu lal- illa ahlalau" mpk pikipiki...
  7. mbezijogoo

    Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    Haya maisha ya Dunia hii kweli yanatutesa kila mtu anataka kutoka Sasa ngoma za wengine watokeazo kali kama Mdundiko unakutoa ndani haraka bila hata kufunga mlango mbio kuifata wendako hukujui kutahamaki ukitaka kurudi Ushapote! Pole yake Shemeji yao na Dada Mashauzi pia?
  8. mbezijogoo

    Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    Wagonjwa wenzangu nashauri mwende hospitali kufanya vipimo fasaha ili mjue tatizo ni nini, ila Mimi niko hivyo nikioga maji baridi tu chamoto takiona baada ya masaa najikuna saaaana hadi navimba na kuacha mabaka hivyo nilifatilia tiba kwa sana nikagundulika nina ugonjwa wa asthma ya ngozi...
  9. mbezijogoo

    Wema aanika sababu za kummwaga Diamond

    Mmeongea umbea wenu wote me nawasoma tu lkn hii ya pikipiki imenikomesha nimechekaje!!
  10. mbezijogoo

    Kuna tatizo lolote ktk picha hii?

    Full Amani na Usalama Nchi yetu kucnzia Ruksaaaaa!
  11. mbezijogoo

    Hivi ni kwanini hakunaga mazishi ya maalbino, ina maana hawafariki?!

    Na ukiacha huyo (baba mdogo) shangazi pia alikuwa naye Zeruzeru kafa akiwa na miaka kati ya 41/40 na kazikwa kaburi lipo Pia mtoto wa shangazi naye alikuwa hivyo hivyo kafa akiwa na miaka 12 kwa ugonjwa wa Pumu naye kaburi lipo. Hii ni kuonyesha mkoa waliozikwa hakuna Imani za kizeruzeru hivyo...
  12. mbezijogoo

    Hivi ni kwanini hakunaga mazishi ya maalbino, ina maana hawafariki?!

    Mmmmh c kweli kuwa hakunaga mazishi yao, baba mdogo alikuwa Zeruzeru (Albno) alifariki akiwa na umri wa miaka 54 na tulimzika Dodoma na kaburi alikufukuliwa mpk Leo lipo
  13. mbezijogoo

    Uhaba wa dawa wamng'oa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya!

    Uteuzi Wa Dkt. Mmbando umelenga sana kwa Wizara ya Afya na Ustawi Wa Jamii mana Wizara tata, kwa Mmbando anaujua vyema msitu wa Afya hivyo naamini ataitendea haki wizara pmj na madaktari wenzake kwa 90%. Big up JK, Big up Dkt Mmbando!
  14. mbezijogoo

    Wezi wa vifaa vya magari wamevamia Kitunda

    Wezi wengi Wa spare za magari ni watoto Wa hao hao wapemba hivyo kazana na huyo Sangoma wako
Back
Top Bottom