Recent content by mbeya1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda kova tuambie, Mgombea wa CUF ni n

    bo..ya kweli kova kwani maandamano lazima muanzie ofc kwenu..kwel ccm wanatumia nguvu kubwa sana kuzuia mvua ya elininyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    atulie kama hayuko
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA tumejipangaje? Hawa wanaohamia wafuate kanuni

    kwanza ccm itoke madarakani..
  4. M

    JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni(Makonda) yupo anamsimanga Lowassa

    kumuongelea uyu kunguni nikuzidi kumpa kiki..mi nishampuuza..nmemuweka kwenye kundi la akina mrema
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

    hadi dodoma kimewaka basi ccm hawana chao,maana wagogo na wasambaa wagumu sana kubadilika..ukombozi wa kweli hauzuiliki
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kijana gani wa kupigiwa mfano siasa za Tanzania?

    kuna jamaa anaitwa moses machali ukitoa ukigoma uyu jamaa anajua kupangilia sana hoja zake na kuzisimamia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    aluta continua.,salam zimfikie makomeo popote alipo bila kumsahau mpga gitaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hafla ya Kikwete, Magufuli na wasanii huu hapa

    Tulienda kula bata tu nakupga pc tuwe wakweli insta tutaweka nin kama sio pc na prezda jaman..kura zetu ziko ukawa ilo halina ubish
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ameteka media huku Magufuli akiteka raia

    Kama sampling yako umefanyia lumumba uko sawa..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni mwanasiasa aliyefilisika kihoja na wala hana uwezo wa kushinda uchaguzi kihalali

    Labda awe raisi wa familia ya kikwete sio tanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA / UKAWA kuanza sera zao rasmi

    gamba likikauka hugeuka gogo jiangalie ndugu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mabango ya Lowassa 2015 sio Kampeni

    Ivi zile chupi za magufuli zile ni kampeni?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro: 4u Movement, Team Lowassa walumbana na CHADEMA ktk kupanga mikakati ya kumnadi Lowassa

    Ccm mmakamatwa pabaya mwaka huu mtatapa tapa hadi mkome tangu lin mgen akaamua mda gan wenyej mulale?? Nepi vijana wako wameshindwa kwa hl wape lngne
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kadi ya CHADEMA imenirudishia wallet yenye pesa na vitambulisho

    CHAMA KUBWA tunasifika kwa ukalimu..hi imetokana na ujenzi imara wa mwenyekiti wetu.ashukuliwe kweli kweli mbowe wawatu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Musoma Nimrodi Mkono kuhama CCM

    Unakaribia kwenye ukweli..uyu mzee matendo yake hayafanan na uccm.kinacho dhaniwa kinafanana na ukwel
Back
Top Bottom