Recent content by MBEYA MAN

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

    Acha umburula,unafanya makosa barabarani alafu unawasingizia uongo polisi,Hiyo ni tabia mbaya na uache majungu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    Akajifunze utii wa sheria bila shuruti huyo mwanamke...Kazi Nzuri kaifanya Soja apandishwe cheo
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tupeni utaratibu wa kujiunga na RED BRIGADE

    Sasa wewe jiunge tu...utaona hasara zake.mi nimejiunga Lkn Mpaka Leo cjaona faida yake
  4. M

    JamiiForums Tanzania "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Maandamano hayo sidhani Kama yatafanikiwa kwakuwa serikali Mpaka hivi sasa haijasema chochote na Mimi sitashiriki Kama serikali haitatoa Baraka zake.....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

    Watanzania hatuandamani wala hatuhitaji huo ujinga, hayo ni ya kwenu mnawataka umaarufu wa kisiasa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

    Lakini hakuna haki isiyokuwa wajibu, sio tunadai tu, tukumbuke na wajibu wetu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

    Haaa! Na nyie tumewachoka bwana na majanga yenu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

    Banjoo inaonekana ni mtu hatari sana sasa tukifanya mchezo naye atatumaliza jamani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mkemia na Jeshi la Polisi kuwafutilia wanaojihusisha na biashara ya Tindikali

    Bado hawajachelewa coz Hao watu wapo katika ndani ya jamii
Back
Top Bottom