Habari za muda huu ndugu zangu, poleni na mahangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, Nakuja kwa mara nyingine tena kutafuta kazi, Mimi ni Mwanaume umri wangu ni miaka 25, Elimu yangu ni kidato cha nne, nipo mkoa wa Iringa.Natafuta kazi kwa yeyote mwenye uhitaji wa mtu wa kazi au kwa yeyote...