Sababu 5 kwanini watu huwa Rastafarian

Sababu 5 kwanini watu huwa Rastafarian

1. Wazazi Wao nao Ni Rastafarian
hiyo Ni sababu mojawapo inayowafanya watu kuwa rasta, aidha wazazi wake au mmoja WA wazazi wake alishakuwa rasta, Na hivo mtoto kuvutiwa nae katika asili hiyo Na yeye kufuga rasta.

2. Bob Marley
Nae amaekuwa Ni chachu mojawapo ya vijana Na watu wazima ulimwenguni kufuga Na kuishi katika imani ya kirastafariani, kutokana Na hamasa aliyokuwa nayo katika kuhamasisha Amani, upendo.

3. Wamezaliwa kuwa hivo
Rastafarian wengi wamezaliwa katika asili hiyo tangu tumboni mwa mama zao, Na hiyo inakuwa asili Yao hadi watakaporudi udongoni

4.
Jah kawachagua kuwa hivyo
Kama kawaida Mungu wetu ndo kampangia hivo tangu kuzaliwa kwake.

5.
Anamaamisha kuwa hivyo.
Rastafarian wanaamini katika ubinadamu,Amani Na mshikamano, pia kukemea vita,
-kuishi Na kuheshimu asili
Kukesha vijiwe vya kuvuta bangi pia ni sababu Ya wengi kijiunga na urastafariani. Maana Rastafarian wengi huwa recruitted vijiwe vya kuvuta bangi. Bangi kwao ni ruksa.Bangi ni mmea mtakatifu kwao
 
Rastafarian hawali nyama ila wanakula mishkaki tu!!
 
Nje ya mada
- Je kwanini Rastafarian wanahusishwa zaidi na matumiazi ya bangi, Japo wengine hawatumii huu mmea

upload_2017-8-9_13-8-41.png
 
Nje ya mada
- Je kwanini Rastafarian wanahusishwa zaidi na matumiazi ya bangi, Japo wengine hawatumii huu mmea

View attachment 561719
Peace bredren!

Matumizi ya herbs sio kwa jamii ya rasta peke yake. Japo wengi huona rasta pekee ndiyo anatumia herbs.
Spiritual people huko India au hata Tibet wamekuwa wakitumia herbs kwa karne nyingi.

Marijuana ni sacred plant, inatumika kusaidia kwenye tahajudi.

Tahajudi is nothing but device/way to aid you discover your real self. You don't have to create your real self. You were just born with it. Your duty is to discover it.

Watu wanaongelea sana ganja kwasababu kuna conspiracies kuihusu. Kwahiyo ni mjadala usioisha.

Binafsi mimi ni rasta. Na sect yangu ni Nya'bingi.

Wapo wengine ni sect ya Bobo Ashanti.

Wote ni watu wazuri tu.

Pia niongezee kitu, mimi nimeishi na Wahadzabe. Wao pia wanavuta ganja. Hawaogopi wala kujali sheria batili zilizoandikwa na serikali kuihusu.

Jambo la msingi ni kutafuta ukweli mwenyewe. And the truth will set you free.

Love peace and prosperity
 
Kukesha vijiwe vya kuvuta bangi pia ni sababu Ya wengi kijiunga na urastafariani. Maana Rastafarian wengi huwa recruitted vijiwe vya kuvuta bangi. Bangi kwao ni ruksa.Bangi ni mmea mtakatifu kwao
Kuvuta herbs haikufanyi uwe rasta. Same as wearing locs never make one a rasta.

Rasta is more than smoking herbs and wearing locs on your head. In fact rasta is about peace and loving each other unconditionally.

Si sahihi kuhusisha wanaoshinda vijiweni na rastafari.
 
Rastafarian hawali nyama ila wanakula mishkaki tu!!
Kula au kutokula nyama ni swala muhimu kuliangali kwa undani si kwa hoja nyepesi.

Niseme kwa ufupi.

Mimi ni vegetarian na ninazingatia sana kuhusu nachokula. Kifupi sili hovyo hovyo.

Nyama si chaguo ziri hasahasa ukiwa unatumia mara kwa mara.

Wanyama mnaokula wanabeba vijidudu vingi sana vya maradhi. Hata kama ukipika baadhi yao hawafi

Na hii ndiyo sababu jamii za watu wanaoishi kwa kula nyama hawana maisha marefu.

Chunguza Wamaasai, Wahadzabe na wengineo.

Lakini ukiangalia watu wanaotumia sana plant based diet waa huishi maisha marefu zaidi.

Chunguza jamii za Asia waonaotumia zaidi plant based diet utagundua wanaishi maisha marefu.

Usikubali kufuata mkumbo tu chunguza mwenyewe utapata jibu lako.
 
Kuvuta herbs haikufanyi uwe rasta. Same as wearing locs never make one a rasta.

Rasta is more than smoking herbs and wearing locs on your head. In fact rasta is about peace and loving each other unconditionally.

Si sahihi kuhusisha wanaoshinda vijiweni na rastafari.
Marasta sikuzote awaniangushagi kwenye hoja na mjadala wanajua kutetea nimekupenda bure ngoja nosogeze umri niache kuweka dawa nywele zangu niwe fasta mpaka uzeeni
 
Marasta sikuzote awaniangushagi kwenye hoja na mjadala wanajua kutetea nimekupenda bure ngoja nosogeze umri niache kuweka dawa nywele zangu niwe fasta mpaka uzeeni
Kila la kheri katika safari unayotaka kuanza.

Growing locs is journey. Inamaanisha sasa unaelekea kwenye enlightment.

Pia ni viziri kufahamu your hair/locs is an extension of nervous system.

When hair is cut the transmission to and from the environment is greatly hampered.

Ukianza kuwa na locs utagundua hili.
 
Nifahamishe unataka kufahamu nini hasa kuhusu rastafari nitakujuza kadiri nitakavyoweza.
Napenda kujua ni hatua zipi mtu azifuate ili awe rastafari hata kama hana rasta kichwani maana hawa bwana wana roho nzuri, wapole, wana huruma na wanapenda Amani, japo si wote je nini huwafanyakuwa vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi hii kitu Ni ya kuzaliwa nayo, maanake Moyo wako ndo huwa katika asili hiyo, kupenda Amani, mshikamano , kikubwa zaidi Ni kuwa Na ubinadamu Na kuheshimu asili.✌
 
Napenda kujua ni hatua zipi mtu azifuate ili awe rastafari hata kama hana rasta kichwani maana hawa bwana wana roho nzuri, wapole, wana huruma na wanapenda Amani, japo si wote je nini huwafanyakuwa vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
Neno rastafalan ni imani ya kutokufa ivyo ili uwe rasta ya hitaji uwe mtu wa kujitolea kutafuta haki panapo hitajika kwa njia ya amani na upendo ulio moyon na usiwe mbaguzi kati ya uyu na yule hapo unaweza kuwa rasta hata usipofuga nywele unaweza kuwa rasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa Na imani ya kirasta raha sana,
Marastafarian WA ukweli wanajua Sana hili
 
Back
Top Bottom