Heri ya Pasaka WanaJF,
Kwa muda nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili bila kuchangia jambo lolote.Pamoja na ukweli huu leo imenibidi niandike mistari michache juu ya tafakari yangu wakati nikisherekea sikukuu ya pasaka.
Ndugu zangu, nchi yetu kwa sasa ina shida moja kubwa sana,USHABIKI WA...
OLESAIDIMU unahitaji darasa kidogo kuelimishwa na kutambua jukumu la vyama vya upinzani na chama ambacho kina mamlaka ya kuongoza nchi,unahitaji kutambua na kujengwa uwezo kwa kutambua na kutofautisha wajibu wa bunge na serikali.Ukielewa haya utakuwa na uwezo wa kujenga hoja zunzosimama...
Unamua katika misingi gani?Kwa kuviweka CDM na CCM pembeni na kuweka ukombozi wa mikononi mwa wananchi ambao baadhi wanaunda vyama hivyo maana yake unataka kuhalalisha mfumo mwingine nje ya vyama vya siasa.Sasa kwa kutusaidia unadhani ni mfumo upi ambao utatoa mamlaka ya moja kwa moja kwa...
Tuko umeuliza maswali ya msingi sana na kuonyesha kiwango kikubwa cha kifikra katika kuchambua bandiko hili,kama mtoa mada ataweza kujibu maswali haya kwa ufasaha itakuwa ni kipimo kizuri cha kutambua uhalali wa hoja zake.Kushindwa kujibu maswali haya atadhihirisha kwa kiwango kikubwa kwamba...
HOJA YA MSINGI,unapaswa kuelewa SAID MOHAMED alizungumzia dini katika mazingira gani ili kuhalalisha mantiki ya hoja yako. Lakini vilevile ungeenda mbele zaidi ya kujua tafsiri pana ya siasa?Nini ambacho watu wenye nia mbaya wamejaribu kuhubiri kwa siku nyingi dhidi ya vyama vya upinzani...
Moja,propapanda ya Udini au dhana nzima ya udini muasisi wake ni CCM na wamefanya hivyo kwa malengo mafupi ya kisiasa "Kushinda Uchaguzi" kwa kuwagawa wakristo na waislamu. Kumbuka walisema/wanasema CUF ni waislamu,CHADEMA Wakristo hivyo kuhatarisha umoja wa kitaifa.
Mbili,umeonyesha chuki za...
Today's politics are for economic growth an technological advances.And in order to advance technologically you require a supporting economy.
Binafsi ningefurahi kuona mwaka 2015 na kuendelea economic issues take centre stage in our political rallies baada ya hili suala la katiba mpya...
Dependence syndrome on foreign aid and and investment as opposed to local investement ni mambo makuu yanayorudisha nyuma jitihada zetu za kujikomboa kiuchumi.Tumekuwa vilevile wategemezi wa kifikra katika kupanga mipango yetu ya ndani thus we are poor and sorry.
Kama tunashindwa kuemphasis...
Malengo ya kisiasa ya mataifa ya kisasa yamebadilika.Siasa za sasa ni kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia.Ili kupiga hatua kiteknolojia lazima kuwepo na supporting economy.Uchumi uliolala kama huu wa nchi yetu hautoi fursa ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umaskini na maradhi...
Maandalizi?Mbunge ndio huyo aliyevaa dark blue(upande wa kulia) unataka kusema na yeye alikuwa anapanga viti?
Hapo ndio alikuwa amefika kwa ajili ya mkutano na kupokelewa na hao watu unaowaona mmoja ni mtumishi wa serikali.
Hiyo ilikuwa saa 11 jioni,tatizo laana za fitna na majungu kwenye mchakato wa kura za maoni 2010 zinawatafuna na zitaendelea kuwatafuna,mtifuano wa Balozi Mshangama na Shekifu kufanyiana fitina haya ndio matokeo yake,CCM imefanya wananchi wa Tanga misukule yake,2015 mtaduaa
Wewe mbona unaficha sura yako na unatumia majina ya bandia weka jina lako,tangia nimejiunga JF umechangia nini la maana hapa halafu unajifanya unatengeneza wasomi,wasomi gani?Unatengeneza wasomi au Division 5.Nimeshasema sibishani na wewe nikaonekana nina upeo mdogo kama wa kwako na hii ni jibu...
Hahahaaaa usilolijua ni sawa na usiku wa giza,nashindwa nikuweke kundi gani?Akili zako za kike ndio zinakufanya kila mtu umwone wa kike?,anyway kulingana na upeo wako tusibishashe....najua ni hasira tuu za.....,pole sana.
Uzee wako nadhani unakusumbua angalia usije ukapata stroke,hujaona hiyo picha au umefumbwa macho,nani anafuata mkumbo wewe huwezi kukimbia kivuli chako,hebu tazama tena hiyo picha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.