Recent content by mbelwa abrah

  1. M

    Uhamisho TAMISEMI June 2016 kwa Walimu vipi?

    chakusikitisha uhamisho wa kughar amiwa na serikali unaendelea kutolewa ila wakuomba ndio hautolewi
  2. M

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    inakera kupita maelezo yani mtu unajigharamia mwenyewe lakin bado hawataki kutoa uhamisho wa walioimba
  3. M

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    alafu cha kusikitisha wasioomba ndio wanahamishwa sasa, wale walioomba wanazuiliwa hadi leo. hv kwelu jamani toka juni 2016 wapo bize tu tamisemi
  4. M

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    ndugu zangu mimi hata sielewi kabisa haya mambo yanaendaje??? uhamisho wa malipo watu wanahama inamaana ile barua haikueleweka vizuri au vip? mi najua walisitisha mwanzoni ili kupunguza gharama yani kubana matumizi kwa kuwa uhamisho wa kugharamiwa ukihamisha mtu bila yeye kuomba gharama zake...
  5. M

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    kama wameanza kurudisha kazin watumish walioajiriwa mwezi mei 2016 ambao ajira yao ilisitishwa kupisha uhakiki wa watumishi na vyeti basi uhamisho wa watumishi haupo mbali
  6. M

    Majina ya uhamisho TAMISEMI watatoa lini?

    kama wameanza kurudisha ajira mpya waliosimamishiwa mshahara ili kupisha uhakiki wa vyeti ujue soon watatoa majina mwezi huu novemba
  7. M

    Uhamisho TAMISEMI June 2016 kwa Walimu vipi?

    wao waseme tu uhakiki ukikamilika hapo sawa
  8. M

    Uhamisho TAMISEMI June 2016 kwa Walimu vipi?

    kweli huo mtazamo wako coz kumaliza mada hakuhusian na uhamisho wa mtu
  9. M

    Msikiti wa posta na ubaguzi??

    hakuna msikiti watu wnabaguliwa kufanya ibada ukiona watu weusi hawaingii ni dhehebu hawalifagilii kuna wahind wanamadhehebu tofauti tofauti
  10. M

    Uhamisho TAMISEMI June 2016 kwa Walimu vipi?

    alafu wenyewe wamekaa kimyaa wakati watu wanaumiza vichwa, kama uhakiki tayari wamesema toka trh 26 aug 2016 sasa tatizo nin cjui!? utasikia wanasubiri tamko
Back
Top Bottom