Majina ya uhamisho TAMISEMI watatoa lini?

Kawaida hutoa majina baada ya mwezi wa saba na mwezi wa kwanza, sina hakika kama zoezi hilo wamesimamisha kwa figisufigisu za watumishi hewa
 
Jaman kuwen wavumilivu soon tutawawekea online majina ya uhamisho .asaiv tunamalizia kuandika barua zenu
 
Jamani mimi ni mgeni nauliza, kwani anayejibia hoja ya uhamisho huyu ni nani? Kwani humu mhusika yupo maana sasa watu hatujielewi kama tunahamishwa au laa, unaweza tumia nauli kwa kuona uhamisho umeahirishwa mara ghafla ukatoka sasa tueleweshwe lini hasaaa!
 
kama wameanza kurudisha ajira mpya waliosimamishiwa mshahara ili kupisha uhakiki wa vyeti ujue soon watatoa majina mwezi huu novemba
 
Back
Top Bottom